afrika

  1. JamiiForums Tanzania CAF yakataa pendekezo la Misri kuongeza Klabu za Ligi ya Mabingwa Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeripotiwa kukataa pendekezo la Shirikisho la Soka la Misri (EFA) lililotaka kuongeza idadi ya klabu za Misri zinazoshiriki CAF Champions League na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kuanzia msimu wa 2026/27. Awali, EFA ilipendekeza kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Je, uwepo wa Dini ni sababu ya Afrika kutokuendelea?

    Kumekuwa na hoja inayorudiwa mara kwa mara kwamba Afrika imechelewa kimaendeleo kwa sababu watu wake wana dini nyingi, hasa Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha, au ni njia rahisi ya kuficha sababu halisi za changamoto za maendeleo? Kwanza kabisa, ni muhimu kutofautisha kati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika

    Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika Mashariki ni pamoja na: 1. VVU/UKIMWI Bado ndilo gonjwa linaloongoza kwa unyanyapaa. Watu wenye VVU mara nyingi wanatengwa, kupoteza kazi, au kukataliwa na familia/jamii kutokana na dhana potofu kuhusu njia za maambukizi. 2. Ukoma...
  6. JamiiForums Tanzania Zamalek watishia kujiengua mashindano ya klabu bingwa Afrika

    Zamalek waipa vitisho shirikisho la soka barani afrika CAF kama watahidhinisha Al Ahly fc kushiriki mashindano ya klablu bingwa afrika mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kutaka kuongeza timu shiriki. Ikumbukwe Al Ahly ameangukia katika michuano ya shirikisho ya CAF mara baada ya kufanya vibaya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unaamini familia zenazo enjoy utajiri wa vizazi kwa Afrika, kuna aliejitoa sadaka kuwa jambazi sugu, papa la madawa, jangili, fisadi, kafara, n.k.?

    Kuna familia zina enjoy old money kwa vizazi hadi leo Kuna msemo husema Generational wealth starts with one bigthief in a family Utajiri wa vizazi huanza na jambazi sugu moja ndani ya familia Je unaamini kuna mwanafamilia moja alijitosa kuipata hivyo vitu kwa dili nyeusi ?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika waipendelea zaidi China, huku ushawishi wa Marekani ukipata pigo kubwa

    Kura ya maoni ya hivi karibuni ya Kituo cha Utafiti cha Pew inaonyesha kwamba taswira ya Marekani imeharibika vibaya barani Afrika wakati wa miaka miwili ya kwanza ya muhula wa pili wa rais Donald Trump. Watu waliohojiwa katika nchi za Ghana, Kenya, Nigeria, na Afrika Kusini, tatu kati ya hizi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa kivitendo kati ya China na Afrika unalenga kutokomeza uhaba wa chakula barani Afrika

    Katika kipindi cha kati ya mwaka 1959 hadi 1961 China ilikumbwa na tatizo kubwa la uhaba wa chakula, tatizo ambalo lilisababisha madhara makubwa ya kiuchumi na kijamii na hata vifo kwa watu wengi. Tatizo la uhaba wa chakula nchini China lilitokana na ukame na hali mbaya ya kijiografia, na hata...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Mashariki ya kati waonyesha China ni kinara wa kutoa masuluhisho kwa nchi za Afrika

    Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa maisha ya watu wenye mapato ya chini katika nchi mbalimbali duniani. Kati ya nchi zote kubwa duniani...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nchi za Afrika tu ambazo mpaka tatizo linafika tamati ndio tunaanza kulitatua

    Juzi tumeona wingereza waziri mkuu kajiuzuru sio kwa ubaya ila kuliokoa taifa kabla ya kufikia tamati. Kwa afrika mpaka maamuzi magumu yatumike ndio mnajua mambo ya shakuwa mabaya. Mfano Zimbabwe pale kama wange muhai mugabe haraka ile nchi isingefikka vile kuporomoka kiuchumi. Mfano wa pili...
  13. JamiiForums Tanzania Hasira na Mihemuko ya Gen-Z Haswa wa Kiafrika Visikuaminishe Chochote, Wako Kwenye Kipindi cha Mpito.

    Kizazi cha Gen-Z, hususan barani Afrika, kimekuwa gumzo kubwa katika mijadala ya kijamii na kisiasa. Vijana hawa wamezaliwa katika enzi ya teknolojia, mitandao ya kijamii, na mabadiliko ya haraka ya kiuchumi na kisiasa. Wanajulikana kwa hasira, mihemuko, na misimamo inayobadilika mara kwa mara...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 50 ya Reli ya TAZARA: Safari ya ushirikiano kati ya China na Afrika

    Huu ni mwaka wa 50 tangu kuzinduliwa rasimi wa Reli ya TAZARA. Reli hiyo inayopita Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ni ushuhuda wa urafiki kati ya China na Afrika. Nusu karne iliyopita, wahandisi na mafundi wa China walifanya kazi bega kwa bega na ndugu zao wa Afrika, kukamilisha mradi wa TAZARA...
  15. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo.

    Yesu kristo sio MUNGU na alithibitisha yeye mwenyewe kuwa sio MUNGU lakini Afrika na Italia zimeng'ang'ania uongo. Biblia inatuambia "Yesu akakutana na kijana tajiri akamwita, Mwalimu mwema, yesu akajibu, Mimi sio mwema Bali mwema ni MUNGU peke yake" hapa yesu anakiri kuwa yeye sio MUNGU. Yesu...
  16. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  17. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  18. JamiiForums Tanzania Wazungu wanakubari makosa na kujifunza ndio maana wanazidi kutumia uwezo wetu kwa serikali mbovu za afrika kutokubari makosa

    Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa. Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
  19. JamiiForums Tanzania Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

    pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent. ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili: Kiswahili chajenga daraja la mawasiliano baina ya China na Afrika

    Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…