afrika

  1. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Afrika na siasa za majitaka kunavyowafelisha

    Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu. Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda...
  2. JamiiForums Tanzania Je, hii ndiyo sababu ya Afrika kutokuendelea

    Kumekuwa na kauli inayorudiwa mara kwa mara kwamba sababu ya Afrika kutokuendelea ni dini, na mara nyingi hoja hiyo hulenga zaidi Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha inapochunguzwa kwa kina? 1. Kwanza, tujiulize: maendeleo ni nini? Maendeleo si suala la dini pekee wala kutokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Strait of Hormuz ya Afrika Mashariki ni Tanzania

    Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu. Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaalikwa kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika 2028

    Taasisi ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ijulikanayo kama Africa Bee Expo, imeialika Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Tano ya Ufugaji wa Nyuki Afrika yatakayofanyika mwaka 2028 na kujumuisha wafugaji wa nyuki kutoka takribani nchi 50. Mwaliko huo ulitolewa leo na Mwenyekiti wa...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani kupunguza balozi zake Afrika zinazotoa visa

    Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya balozi zake barani Afrika zinazoshughulikia maombi ya visa, hatua inayotarajiwa kuongeza udhibiti kwa wanaotafuta vibali vya kuingia nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Associated Press (AP), mpango huo utaifanya...
  7. JamiiForums Tanzania Kambarage, Fatma Na Chumi Waapa Rasmi Kuwa Wabunge Wa Bunge La Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli...
  8. JamiiForums Tanzania Kitendawili cha ugumu wa maisha Afrika ya Mashariki.

  9. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Vyama vya Upinzani Afrika ya Mashariki

  10. I

    JamiiForums Tanzania Ford Foundation Misaada au Mtego wa Kimataifa? Historia ya FF je ina mchango wowote klatika uchochezi wa machafuko popote Duniani haswa Afrika

    Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025 Nchi Zilizohusika...
  11. JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuongeza thamani ya madini yake muhimu

    Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka mgodi wa Acadia karibu na Harare, mji mkuu wa Zimbabwe. Mafanikio haya ya kihistoria yanamaliza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lapita la Kenya, ni la tatu Afrika

    Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia. Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2 Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
  13. JamiiForums Tanzania SIASA SIO KICHAKA CHA UHUNI AFRIKA. NA KUWA MPINZANI SIO GEREZA LA WAKOSA AKILI.

  14. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kinakwenda kuwa chama tawala kama ANC ya Afrika Kusini

    Kuna mwanga mkubwa umeanza kuonekana ndani ya Chadema, ndio maana wenye akili wameanza kurudi na walio ndani ya CCM wanaki-sapoti kwa siri. Watu wameanza kugundua Chadema ni chama halisi cha siasa (Right-Center Party) ambacho msingi wake mkuu ni Watu, Upendo, Haki, Usawa na Amani. Nguvu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  16. JamiiForums Tanzania Mafwele soma historia ya Eugene De Kock, polisi katili wa enzi za ubaguzi Afrika kusini

    Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Mitandaoni: Je, Kuonyesha Maumbo Kumekuwa Sehemu ya Utamaduni Mpya Afrika?

    Kwa heshima kabisa, kuna tabia ambayo imekuwa ya kawaida sana siku hizi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wadada wengi wanapojirekodi video mara nyingi hugeuka makusudi kuonyesha maumbo yao hasa makalio, hadi imekuwa kama ni sehemu ya kawaida ya content nyingi za Afrika na hasa Tanzania. Swali...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaendelea kuwa kitovu cha Utawala Bora Afrika, Kikwete apokea wataalamu kutoka Somalia kuja kujifunza Utawala Bora

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha mafunzo ya utawala bora barani Afrika baada ya kupokea ujumbe wa wataalamu 25 kutoka Somalia kwa ajili ya mafunzo maalumu ya uendeshaji bora wa utumishi wa umma. Akizungumza wakati wa mapokezi ya ujumbe huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kama sayansi na teknolojia zingeweza kuwa afrika ingekuwaje kama jambo la kukosolewa na ukweli kwenye mambo ya maisha afrika ni hatari

    Hii mada nitakuwa na rudia sana. Nimeona kuna mdaharo fulani shaikh fulani kaenda kulazima anacho kiamini yeye ,basi jamaa baada ya kumpa fact tena anatoa kwenye kitabu anachokitumia kilicho tokea yule sheikh alimuita chizi na watu wamuondoe. Hii ni kwa Afrika ambapo mambo kama sayansi na...
  20. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Afrika ni mfumo wa vyama vingi

    "Ugonjwa mkubwa wa Afrika ni mfumowa vyama vingi. Afrika, amkeni ondoeni mfumo wa vyama vingi, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe kupambania ndoto za watu binafsi sio taifa." - Alloyce, P.R
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…