Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza...
•Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa
• Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni mita 20×15.
•Nyumba ina umeme na maji yapo karibu ni ya kufuatilia.
Bei ni Tsh 35,000,000.
Kwa...