The USA PATRIOT Act (commonly known as the Patriot Act) was an Act of the United States Congress, signed into law by President George W. Bush.
USA PATRIOT is a backronym for Uniting and Strengthening America by Providing Appropriate Tools Required to Intercept and Obstruct Terrorism.The Patriot Act was enacted following the September 11 attacks with the stated goal of dramatically tightening U.S. national security, particularly as it related to foreign terrorism. In general, the act included three main provisions:
expanded abilities of law enforcement to surveil, including by tapping domestic and international phones;
eased interagency communication to allow federal agencies to more effectively use all available resources in counterterrorism efforts; and
increased penalties for terrorism crimes and an expanded list of activities which would qualify someone to be charged with terrorism.
"Wakati tu mchakato umetangazwa, Kiongozi wetu wa Chama, ndugu Dorothy Semu alitangaza hadharani nia yake ya kugombea Urais na alifanya mahojiano na vyombo vya habari na aliendelea kufanya harakati zake za kuwatangazia umma kwamba wakati ukifika atagombea Urais.
"Hadi juzi tumemaliza tulikuwa...
Siku moja baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Ndala kumwandikia barua katibu Mkuu wa chama hicho akipinga kuteuliwa kwa Luhaga mpina kuwa mgombea urais, chama hiccho nacho kimemjibu.
Barua hiyo pia...
Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo:
1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija.
2. Tafuta sauti ya...
Maalim Seif alikuwa na nguvu kisiasa lakini serikali 3 zilimzuia kwenda Ikulu hadi akaondoka zake. Nyie mna mikakati Gani tofauti na Seif?
Kushinda sio kazi ila kazi ni kutangazwa, Shauri mjaribu kuhubiri serikali 1 au 2 hizihizi hadi hapo mtakapokwenda Ikulu kwa kutumia Katiba hiihii ya...
Siasa ni kama mchezo wa karata. Mjanja anayeweza kuzicheza karata zake vizuri kwa kawaida huibuka mshindi.
Zitto Kabwe ni hodari wa kuucheza huo mchezo. Anajua kuwa kumeguka kwa vyama vikuu vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu vinatoa fursa za kuimarisha chama chake.
Mwaka 2015 chama cha CUF...
Akiwa Zanzibar' kumtambulisha Mgombea Urais wa Chama chake Luhaga Mpina, Kiongozi wa zamani.wa ACT wazalendo ZItto Kabwe amejiapiza kwamba kama Luhaga Mpina atashinda kwenye Uchaguzi huo, kama atatangazwa au kama hatatangazwa, atakuwa Rais.
Amesema vivyo hivyo kwa wagombea Ubunge na Udiwani...
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.
JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na...
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za Maalim
Katika enzi za...
Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT
1. Anna Mgwira RIP
2. Maalimu Seif RIP
3. Benard Membe RIP
SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, amesema kuwa uteuzi wake kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ni mwanzo rasmi wa safari ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani, akisisitiza kuwa Watanzania wanataka katiba mpya na haki ya...
ACT Wazalendo ni chama sindikizi. Hiki chama hakitaweza kuongoza dola kwasababu kinategemea dola hiyo hiyo na viongozi wa chama nao maisha yao wanategemea dola. Hawataweza kudai vizuri mabadiliko kwasababu kwa naomna nyingine wanategemea pesa kutoka kwa hao hao watu wa mfumo. Lakini ni chama...
NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
Wakuu,
Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo.
Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala.
Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM
Mfumo mzima wa demokrasia...
Wakuu,
ACT Wazalendo wana jambo lao leo. Kaa karibu na uzi huu kupata updates mbili tatu
https://youtube.com/live/eLJsZyyV4DU?feature=share
Hali ilivyo kwenye Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo Agosti 6, 2025, Mliman City Jijini Dar es Salaam, katika Mkutano huo...