act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa maombolezo ya Oktoba 29

    Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29, 2025 wakitumia kauli mbiu ya “Machozi ya Mama – Deni la Taifa”. Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mpango wa ACT Wazalendo unaheshimisha au kudhorotesha mapambano ya wanawake?

    Wakuu Nimeona kwamba ACT itaahirisha sherehe za wanawake mwaka huu ili kukumbuka vifo vya waliouwawa Oktoba 29 Sasa nauliza kwamba huu ni uamuzi sahihi kwa wanawake? Kwanini wasingeendelea tu na sherehe za zao then wakatumia hizo sherehe kupitisha ujumbe wao?
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo (Abdul Nondo) atema cheche muda huu

    https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT ------------ "Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
  4. JamiiForums Tanzania Bwege: Nikiwa ACT Wazalendo, nimeitwa sana mchochezi kwa kusema baadhi ya mambo muhimu na wakinichokonoa na walipuwa

    Bwege ameendelea kuyasema mengi zaidi, ambapo leo amesema wakati yupo ACT Wazalendo ameitwa sana mchochozi kwa kusema mambo muhimu. Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Aidha amesema wakimchokonoa basi atawalipua wote, huku akisema viongozi wao walikuwa awana msimano hata katika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!

    Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu! Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo. Upinzania wa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Zanzibar yatupa maombi ya wagombea ACT Wazalendo, wafugua kesi upya

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia uharibifu wa vifaa vya uchaguzi katika maombi yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT Wazalendo majimbo ya Unguja

    Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026. Amri hiyo imesimamisha rasmi mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuharibu vifaa na nyaraka...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Zanzibar yasema haiwezi kusikiliza kesi wabunge ACT

    Mahakama Kuu ya Zanzibar imeamua kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo kwa kuwa mamlaka hayo yamo mikononi mwa Mahakama Kuu ya Tanzania (Bara). Sikiliza Gumzo la Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo na wakili wa kesi...
  11. JamiiForums Tanzania Sintofamu kifo cha Diwani wa ACT wazalendo Polisi watofautiana kauli.

    Hali ya sintofahamu imeendelea kutanda mkoani Kigoma kufuatia kifo cha Diwani wa Kata ya Nyamgali kupitia chama cha ACT Wazalendo, Majaliwa Abbas Hamisi, huku kukiwa na mivutano ya kikauli kati ya uongozi wa chama chake na Jeshi la Polisi kuhusu chanzo cha kifo hicho. Chama cha ACT kimelitaka...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: ACT Wazalendo, ilikutana na Tume ya Jaji Chande na wakaomba isipigwe picha?

    Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamati Kuu ACT Wazalendo kukutana Januari 18, Dar kujadili ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Katika kikao hicho, Kamati Kuu inatarajia kupokea na kujadili taarifa ya Sekretarieti ya Chama Taifa na kutoa maelekezo ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo: Maridhiano ya funika kombe tunayakataa, hatutatumika

    Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza kwenye...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  16. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo set to meet on January 17 or 18 to decide whether to join CCM in the Zanzibar Unity Government

    ACT Wazalendo has taken concrete steps toward joining Zanzibar’s Government of National Unity SUK as talks between the party and the Zanzibar Revolutionary Government reach their final stages. The development follows sustained efforts by the Zanzibar government to persuade ACT Wazalendo to join...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mahakama kuu imetoa kibali kesi ya kupinga uteuzi wabunge Viti Maalum uliofanywa na INEC

    Leo tarehe 30 Disemba, 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma ikiketi chini ya Jaji Ephery Kisanya imetoa uamuzi wa muhimu katika kesi dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhusu Uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalumu iliyofunguliwa na ACT Wazalendo. Katika uamuzi huo mdogo, Mahakama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo si wazalendo!

    Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
  19. S

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

    "Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama". "Sisi tunaamini katika kumjenga...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu: ACT Wazalendo mnakwenda Peramiho kulinda kura?

    Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…