act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jeshi la Polisi wamkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe sababu hazijafahamika

    Jeshi la Polisi wamemkamata Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe Ezekia Zambi kwa sababu ambazo bado hazijafahamika. ACT Wazalendo Vwawa iliruhusu Chadema kutumia ratiba yake kufanya mkutano wa Mwenyekiti Freeman Mbowe lakini polisi wakazuia. Soma Pia: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jussa: Chama cha upinzani chenye muelekeo ni ACT- WAZALENDO

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Njombe aeleza A-Z mkasa nzima ilivyotokea mpaka Freeman Mbowe kukamatwa na Polisi

    Wakuu, Muda mchache baada ya Freeman Mbowe kukamatwa, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe amezungumza mwanzo mwisho nini hasa kimpelekea mpaka Mwenyekiti huyo kukamatwa. Soma pia: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Tumesikitishwa na kitendo cha Polisi kumkamata Mwenyekiti wetu Mkoa wa Songwe, Ezekia Zambi

    TAARIFA KUTOKA ACT WAZALENDO Kwa masikitiko makubwa, tumepokea taarifa ya kukamatwa na Polisi kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Mkoa wa Songwe leo tarehe 22, November, Ndugu Ezekia Elia Zambi bila sababu za msingi zinazojulikana. Pia soma: LGE2024 - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea ACT- WAZALENDO: Mkituchagua tutaweka Wi-Fi ya bure kwenye Ofisi za Serikali za Mitaa

    Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma. Soma...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wazee Wa Kigoma Wafanya DUA Maalumu Uchaguzi Serikali Za Mitaa kwa kuchinja ngamia

    Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

    Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti. Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo yawaomba wananchi kuchangia kwa hali na mali kufanikisha ushiriki wao kwenye Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Hapa ndio CCM inapozidi kuwapiga gape wapinzani, maana wana hela afu wana watu, yaani mpaka kontena la uchawa lipo standby kwaajili ya uchawa tu. Bila upinzani kuungana, kumpiga CCM itakuwa muujiza! ===== Chama cha ACT Wazalendo kimewaomba wananchi kuchangia kwa hali na mali...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: ACT Wazalendo wavalia njuga sakata la uhaba wa maji huko Busega. Awataja viongozi wa CCM kuhusika!

    Wanabodi, Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi? Akiwa anaongea kwenye kampeni Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ameeleza kutoridhishwa na changamoto...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Waungeni mkono vijana uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu ameendelea na kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Novemba 21, 2024 alikuwa Jimbo la Mbeya Mjini, Kata ya Ruanda Mtaa wa Makunguru ambapo amepita mtaa kwa mtaa kuwanadi wagombea. Ameeleza kuwa chama cha ACT Wazalendo kimelenga kuboresha...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa mwenyekiti wa kijiji kupitia CCM ampigia chapuo mgombea wa ACT- WAZALENDO

    Wakuu vipi huko kwenu kampeni zinakwendaje === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo Juma Helandogo akieleza kuwa mgombea wa ACT anapaswa kufuata nyayo...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mwenyekiti wa kijiji aliyemaliza muda wake kupitia CCM amuombea Kura Mgombea wa ACT Wazalendo

    Wakuu! Tuseme hii ndiyo siasa bora au kuna kanamna fulani hivi kati ya ACT Wazalendo na CCM? =================== Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kwa tiketi ya CCM, Venance Chamaheke amemuombea kura mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi hiyo...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

    Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA. Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi Sikatai kama huku CHADEMA na ACT...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe: Kuliko ibaki CCM pekee, kapigeni kura za hapana

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amezungumza kwa msisitizo kuhusu mapambano ya chama hicho kuhakikisha uchaguzi wa serikali za mitaa unafanyika kwa haki, huku akiwataka wananchi wa kijiji cha Ilalanguru, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma kuchagua viongozi wanaowajibika...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: ACT- WAZALENDO yamnadi Mgombea wa CHADEMA baada ya mgombea wao kuenguliwa

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT Wazalendo,ndug. Abdul Nondo amemnadi Mgombea wa CHADEMA Kijiji cha Matanda, kata ya Kigwa Wilaya ya Uyui, Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora, Ndug. James Erick Kabepele ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora. Kijiji hiki Mgombea wa ACT Wazalendo...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Songwe: Ado Shaibu wa ACT Wazalendo atangaza kufuta uanachama viongozi wote wasaliti ndani ya chama hicho

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama Ado amesema kuwa viongozi wote kutoka ACT Wazalendo ambao watakandamiza wananchi watafutiwa uanachama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 ACT-Wazalendo: Tutatumia mitaa tutakayopewa ridhaa kama mfano wa namna tutakavyoongoza serikali kuu iwapo tutachaguliwa 2025

    ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo watapewa ridhaa. Ambapo wameainisha mambo kumi watakayoyafanya itakaposhinda mitaa, vijiji, na miji midogo
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Utendaji wa Mbunge Kimei wamng'oa katibu wa ACT Wazalendo Jimbo la Vunjo

    Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Polisi kuvaa fulana za ACT Wazalendo ?

    Wakuu nimecheka kwa uchungu sana, nipo hapa Manispaa ya Kinondoni, Katika kufuatilia majina ya Wagombea wa Chama changu. Lakini cha kushangaza Mapolisi walikuwa wamevaa fulana za ACT Wazalendo halafu wanajifanya ni Wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo wakiwatuliza Wanachama wa CHADEMA eti...
Back
Top Bottom