Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu amekamatwa jioni ya Marchi 17, 2025 pamoja na viongozi wa Ngome ya Wanawake na wa Mkoa wa Kagera wakati ya misa ya kumuombea Marehemu Dafroza aliyekufa kwenye mikono ya polisi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Wengine waliokamatwa ni Katibu wa...
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
ACT Wazalendo mnauhakika huu mnara utadumu, maana lolote linaweza kutokea so mjiandae!
===============
“Machozi ya mama anayesubiri kurejeshewa mwili wa mwanae ni kilio kisicho na sauti, lakini chenye uzito mkubwa kwa taifa”.
Huo ndio ujumbe uliotolewa na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo...
Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29, 2025 wakitumia kauli mbiu ya “Machozi ya Mama – Deni la Taifa”.
Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya...
Wakuu
Nimeona kwamba ACT itaahirisha sherehe za wanawake mwaka huu ili kukumbuka vifo vya waliouwawa Oktoba 29
Sasa nauliza kwamba huu ni uamuzi sahihi kwa wanawake?
Kwanini wasingeendelea tu na sherehe za zao then wakatumia hizo sherehe kupitisha ujumbe wao?
https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT
------------
"Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
Bwege ameendelea kuyasema mengi zaidi, ambapo leo amesema wakati yupo ACT Wazalendo ameitwa sana mchochozi kwa kusema mambo muhimu.
Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA
Aidha amesema wakimchokonoa basi atawalipua wote, huku akisema viongozi wao walikuwa awana msimano hata katika...
Wapinzania wa kweli wameanza kwenye Chadema ACT wazalendo kitabaki Zanzibar tu!
Uchungu wa madaraka ya haraka badala ya kupigania mifumo unaweza kudhani inasaidia chama kumbe ni bora uagalie mbali na kupigania mifumo kwanza. Hili ndiyo sababu ya kifo kijacho cha ACT wazalendo.
Upinzania wa...
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026.
Amri hiyo imesimamisha rasmi mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wa kuharibu vifaa na nyaraka...
CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA
ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
actactwazalendo
kura
mpango
tume
tume ya uchaguzi
tume ya uchaguzi zanzibar
uchaguzi
uchaguzi zanzibar
ushahidi
wapinga
wazalendo
wizi
wizi wa kura
zanzibar
zec
Mahakama Kuu ya Zanzibar imeamua kuwa haina mamlaka ya kusikiliza kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo kwa kuwa mamlaka hayo yamo mikononi mwa Mahakama Kuu ya Tanzania (Bara).
Sikiliza Gumzo la Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo na wakili wa kesi...
Hali ya sintofahamu imeendelea kutanda mkoani Kigoma kufuatia kifo cha Diwani wa Kata ya Nyamgali kupitia chama cha ACT Wazalendo, Majaliwa Abbas Hamisi, huku kukiwa na mivutano ya kikauli kati ya uongozi wa chama chake na Jeshi la Polisi kuhusu chanzo cha kifo hicho.
Chama cha ACT kimelitaka...
Nimepewa hii habari na mtu alie karibu sana na mmoja wa wa
viongozi wa ACT Wazalendo, na nimeileta kama tetesi ingawa nimehakikishiwa kwamba ni ukweli kwa asilikia 100, akaniambia Viongozi walisha kutana na tume ya Chande ila shariti kubwa ni walitaka isipigwe picha, na alie shinikiza ni Katibu...
Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015.
Katika kikao hicho, Kamati Kuu inatarajia kupokea na kujadili taarifa ya Sekretarieti ya Chama Taifa na kutoa maelekezo ya...
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameweka msimamo mzito kuhusu mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa chama hicho hakitashiriki katika mazungumzo yoyote ya "ulaghai" yanayolenga kufunika makosa yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza kwenye...
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
ACT Wazalendo has taken concrete steps toward joining Zanzibar’s Government of National Unity SUK as talks between the party and the Zanzibar Revolutionary Government reach their final stages.
The development follows sustained efforts by the Zanzibar government to persuade ACT Wazalendo to join...
Leo tarehe 30 Disemba, 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu Dodoma ikiketi chini ya Jaji Ephery Kisanya imetoa uamuzi wa muhimu katika kesi dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhusu Uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalumu iliyofunguliwa na ACT Wazalendo. Katika uamuzi huo mdogo, Mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.