In fashion, an accessory is an item used to contribute, in a secondary manner, to an individual's outfit. Accessories are often chosen to complete an outfit and complement the wearer's look. They have the capacity to further express an individual's identity and personality. Accessories come in different shapes, sizes, hues, etc. The term came into use in the 20th century.
Leo Tarehe 9 September, CEO mpya wa Apple John Ternus (amemreplace Tim Cook alieachia madaraka mwanzoni mwa huu mwezi), amezindua products mbalimbali za Apple kwenye event yao waliyoiita "Surprise and Shine"!
Event hiyo iliofanyika kwenye Steve Job's Theater, Apple Park California, USA, usikute...
Biashara ya simu inaweza kukuingizia faida nzuri, lakini simu moja bandia, bidhaa isiyo na ubora au eneo lisilo sahihi linaweza kuharibu uaminifu wa wateja na mtaji wako kwa muda mfupi.
Mahitaji ya simu, chaja, earphones, cover, screen protector na vifaa vingine vya simu yanaendelea kuwepo kwa...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa.
Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
Habari za majukumu wana-JamiiForums!Je, wewe ni mkazi wa Mapinga, Bunju, Boko, Tegeta, au maeneo ya Bagamoyo na unatafuta vifaa bora vya kompyuta na accessories? Au wewe ni fundi wa madishi ya TV (Azam, DStv, Zuku, StarTimes) unayetaka vifaa imara vya kazi bila kusafiri umbali mrefu hadi mjini...
Habari za mda Wana jukwaa, Naomba tupeane madini /maoni, hasa kwa wajuzi na Wamiliki wa BMW 3 series sedan (hasa za kuanzia 2011 kurudi nyuma). Kumekuwa na trend ya kufunga aftermarket Accessories kama...
Kama una Laptop/Desktop mbovu na unahitaji fundi nichek. Pia nauza Accesdories za computer kama..
Battery za Laptop/Mac
Keyboard za Laptop/Mac
Chargers za Laptop/Mac
Vioo vya Laptop/Mac
Ssd/Hdd & Ram memory
Housing za Laptop
Softwares mbalimbali
Tupo ilala - Dsm
0767953873
Sony GMaster 18-105mm e-mount lens
Sigma 16mm prime lens
Zhiyun Crane 3 lab
Rode VideoMic several batteries, 5 memory cards with holder, variable ND filters and a lowepro sling bag to carry it all in.
Karibu upate vifaa vya umeme vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya biashara yako! Tunauza jumla na reja reja flash, cover, chaji na USB kwa bei nafuu kabisa, zenye kuhakikisha unanufaika kwa faida kubwa.
Tunajua wateja wako wanapenda bidhaa zinazodumu, zenye ubora na...
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.
Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
Poleni na majukumu wakuu.
Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu.
Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
Hivi vitu vya fasheni uwa navichukulia poa, kumbe mi bado sana.
Pochi ndogo sana hizi tena pair moja, ila bei CIF + TRA ya gari.
Mimi kununua mkanda Million 2.6 dah bado sana.
Je, sunglasses kwa 2 Millions?
Kuna uwezekano ata hawa majina makubwa wanatumia fake, tena quality ya chini...
Tunauza Accessories za Computer aina zote kama...
Battery za Laptop & Macbook
Keyboard za Laptop & Macbook
Screen za Laptop & Macbook
Charger za Laptop & Macbook
Housing za
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.