abdul nondo

Abdul Nondo (full name often Abdul Omary Nondo) is a prominent Tanzanian opposition youth leader and activist, currently serving as the National Chairperson of the Youth Wing (Ngome ya Vijana) for the opposition party ACT Wazalendo.

He has been a vocal critic of the government, particularly under President Samia Suluhu Hassan, focusing on issues like youth empowerment funds, economic opportunities for young people, informal sector challenges, transparency in government programs (e.g., the Shilingi Bilioni 200 youth/women empowerment funds), and alleged human rights abuses.

Background and ActivismEarlier in his career (around 2018), he was a human rights defender and Chairperson of the Tanzania Students' Networking Programme (TSNP) while a student at the University of Dar es Salaam.

He advocated for student rights, democracy, and against police brutality (e.g., criticizing extra-judicial killings during political events). He faced legal troubles, including charges from which he was acquitted in 2021, allowing him to resume studies and rebuild his life.


He has been involved in multiple reported abductions/kidnappings, which he and his party attribute to state-linked actors as retaliation for his criticism:In March 2018: Abducted by unknown assailants and released in a remote area far away.

Most notably, in late November/early December 2024:

Allegedly abducted from a bus station in Dar es Salaam while campaigning, severely beaten, and dumped at Coco Beach (or near party HQ in Magomeni) after about 18 hours. He was hospitalized with injuries. This incident drew international attention from outlets like BBC, Front Line Defenders, and others, amid a pattern of opposition abductions (including the killing of another figure in September 2024). Police launched investigations but opposition sources claim no accountability.


In interviews (e.g., on Jambo TV in February 2026), he described the torture as painful and memorable, rejected claims that such events were staged for publicity, and vowed to continue speaking out: "If they want to kill me, let them kill me, but I cannot keep quiet. This is my country."
  1. Compare & Contrast kutekwa kwa Abdul Nondo Vs Mzee Kibao: Watekaji hawa ni Malaika, wale ni mashetani! Tuwashukuru kwa uhai wa Nondo au tuwalaani?

    Wanabodi, Toka kutekwa kwa Adul Nondo,kiukweli nikikumbuka ya Mzee Kibao,nikawa nasali kimya kimya yasitokee kama yale Leo baada ya kusikiliza mahojiano haya,https://youtu.be/KUV7rhRzJZY?si=Q9r--39T3ecHZSXX Ndio nimepata faraja na angalau kuweza kuandika kitu。 Kitu cha kwanza ni kuwashukuru...
  2. SI KWELI Kuna taarifa kuhusu Zitto Kabwe kuhusishwa na utekwaji wa Abdul Nondo

    Wakuu nahitaji kupata uhalisia wa hii taaria niliyokutana nayo huko mtandao wa X kwamba Zitto Kabwe anahusishwa na utekaji wa Nondo ni upi uhalisia wa taarifa hii?
  3. S

    Ushauri: Viongozi wa CHADEMA mkamtembelee hospitali Abdul Nondo

    Pamoja na ukweli kuwa Abdulu Nondo na chama wake walikuwa hawawaungi mkono katika mapambano ya kupinga vitendo vya utekaji na uuaji, nawashauri muonyeshe ukomavu wa kwenda hospitali ya Aghakan kumtembelea Abdulu Nondo alielazwa hosptalini hapo baada ya kutekwa na kisha kujeruhiwa. Kama viongozi...
  4. Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

    Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka." Pia soma ~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo...
  5. Nondo azungumzia kutekwa kwake. Nina hofu sana na maisha yangu

    Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo kwa sasa akiwa amelazwa katika hospitali ya Agha Khan, jijini Dar es Salaam, baada ya kutekwa na...
  6. ACT Wazalendo: Hatuna sababu ya kulishukuru Jeshi la Polisi kutekwa kwa Abdul Nondo, wameishia kutoa matamko ya jumla jumla

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, Nondo alisaidiwa na dereva wa bodaboda aliyemfikisha katika ofisi...
  7. R

    Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  8. Press Conference ya ACT Wazalendo kuhusu kutekwa Abdul Nondo ilidhamiriwa kunyamazishwa?

    Nimetafuta sana press conference ya ACT Wazalendo waliyofanya jana jioni kuhusu ukamatwaji wa Abdul Nondo iliyoongozwa na kiongozi mmoja wa ACT. Nimebahatika kuipata ikiwa imerushwa na ICON TV tu. Labda mtanisaidia kama kuna pahala inapatikana kwa sauti yenye ubora. Lakini nilichoona ni kipaza...
  9. Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  10. P

    PreGE2025 ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi kuzungumza vizuri. Mchinjita ameyasema hayo usiku huu (2:15 Disemba 02, 2024) baada ya kufika katika...
  11. Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kupatikana kwa Abdul Nondo

  12. Boniface Jacob: Abdul Nondo kapatikana, yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote, hata kuongea ni shida

    Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT. Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida. =============== Kwa upande mwingine Malisa ametoa maelezo mengine kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram...
  13. Polisi: Gari la kituo cha Gogoni halihusiki na utekaji wa Abdul Nondo

    Jeshi la Polisi limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai gari lililoegeshwa Kituo cha Polisi Gogoni limehusika na tukio la utekaji wa Abdul Omary Nondo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli leo alfajiri. Pia, Soma: Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika...
  14. PreGE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

    Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam. Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na...
  15. ACT Wazalendo: Tuna uthibitisho na tunaamini Abdul Nondo yupo kwenye mikono ya vyombo vya dola

    Tamko la ACT Wazalendo kuhusu ukiukwaji wa Haki za Binadamu limetolewa leo katika mkutano na Waandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi wa chama hicho, Mbarala Maharagande, leo Desemba 1, 2024 WANACHAMA WETU 200 WANAISHI PORINI KWA VITISHO...
  16. Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  17. Taarifa ya Polisi kuhusu kutekwa kwa Abdul Nondo sijaielewa

    Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi; TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi Louis Dar es Salaam kuna mtu mmoja mwanaume amekamatwa kwa nguvu na kuchukuliwa na watu waliokuwa...
  18. S

    Kwanini hawakumpa Abdul Nondo wito wa kufika Kituo cha Polisi kama wanamuhitaji kwa nia njema?

    Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS) haki ya kukamata watu huku wakiwa na kinga maalumu. Kama Polisi wapo, basi watakuwa wameshirikishwa...
  19. P

    Inasemekana alipotekwa Nondo kuna CCTV Camera, pia simu ya moja ya watekaji ilianguka na imekabidhiwa polisi. Je, watakamatwa?

    Wakuu, Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na hivyo vyote amepewa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli. Wakuu hii ina maana wasiyojulikana kwa...
  20. PreGE2025 Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo

    Wakuu, KUTEKWA KWA MWENYEKITI WA NGOME YA VIJANA NDUGU ADBUL NONDO Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Ndugu Abdul Omar Nondoametekwa asubuhi hii na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa sehemu ya viongozi wa kitaifa walioongoza kampeni kwenye mikoa ya magharibi mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…