Hizi imani zetu zilipofikia sasa ni upumbavu

Hizi imani zetu zilipofikia sasa ni upumbavu

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,065
ImageUploadedByJamiiForums1441535349.479412.jpg

Yaani pastor anapata Blow-job kirahisi namna hii..!!!

Kama ukimkuta mke au demu wako ameenda kupata holy milk kwa huyu pastor si unaweza kukata shingo kabisa..
 
Kama ni manabiii wa UONGO naona huyu ni CEO wao!!!!
 
Hakuna cha upumbavu hapo, ni kosa la jinai na huyo mchungaji apelekwe panapomfaa!
 
Wanawake wengi ni wenda awazimu. Unawezaje kuambiwa hivyo na wewe ukakubali?
 
Hizi dini zingine ni za kufutwa katika uso wa Dunia
 
View attachment 284209

Yaani pastor anapata Blow-job kirahisi namna hii..!!!

Kama ukimkuta mke au demu wako ameenda kupata holy milk kwa huyu pastor si unaweza kukata shingo kabisa..

Teh teh teh.

Halafu tukisema Kondoo hawana Akili na Wachungaji wana Laana tunapigwa ban.
Cybercrime njooni huku mtukamate. Manake Hizi kasheshe za Wachungaji na Kondoo haziishi leo.
 
Teh teh teh.

Halafu tukisema Kondoo hawana Akili na Wachungaji wana Laana tunapigwa ban.
Cybercrime njooni huku mtukamate. Manake Hizi kasheshe za Wachungaji na Kondoo haziishi leo.

Sasa wafanyeje maana wameona ndio njia pekee ya kupiga ndege wawili (labda)
 
View attachment 284209

Yaani pastor anapata Blow-job kirahisi namna hii..!!!

Kama ukimkuta mke au demu wako ameenda kupata holy milk kwa huyu pastor si unaweza kukata shingo kabisa..
Teh teh teh

Pastor anagawa kinywaji baridi kwa kondoo wake daa!! Imani zingine ni msiba.
 
mh! hawa ni hamnazo Kweli. Niliwahi kusema ukiwa ------ hata uwe na degree ngapi unaburuzwa tu.Haya sasa nyasi,nyoka leo private parts?
 
Hao waumini sio akili zao. Kuna vitu watakuwa wanatupiwa humo makanisani...
 
Hatari sanaa.

Wanakula tuh mizigoo

Si ndiyo neema za bwana hizoo...

Hatari sana

Teh teh teh

Pastor anagawa kinywaji baridi kwa kondoo wake daa!! Imani zingine ni msiba.

Hio inaitwa Bwana katwaa mzigo!
In return kawapa kondoo maji ya uzima.

Na mimi naanzisha Kanisa very soon.
Mgawa maji ya uzima namuita Mchungaji faby.

Teb teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom