Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

Badili kitu chochote kwenye smartphone yako ya android

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
826
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima;

1. Nembo ya Tecno simu inapowaka na kuzima

2. Kubadili rangi ya notification bar

3. Kubadili ringtone na kuweka za nyimbo unazotaka

Na vingine vingi kiurahisi tu.

SEMA WEWE UNATAKA KUBADILI NINI? NIKUSAIDIE UBADILI HAPO HAPO.

NOTE: KUBADILI HIVI VITU UNATAKIWA KU ROOT KWANZA SIMU YAKO.

Hivyo;

1. Download kingroot app kwenye google

2. Install na bonyeza batan kubwa ya duara ikionesha tiki ujue tayari

3. Simu inaweza kuzima na hujiwasha yenyewe(boot) kwahiyo usiwe na hofu haujaharibu kifaa chako

4. Kama haikuzima, zima na iwashe utaona app ya supersu imetokea kwenye menyu ujue tayari.
 
Mi yangu nmesha root nahitaj msaada jinsi ya ku custom rom ni tecno

Kuweka custom rom sio rahis sabab ukikosea kidogo una haribu sim yako na pili mi sio mzoefu sana sabab nimewahi kuweka sim moja tuu na baada ya hapo ilikua inasumbua ku detect network signal
 
nataka kubadili niweke ringtone za sumsung

Download aplication ya root browser
1.fungua root browser app na nenda kafungue mafail yafuatayo
2.system
3.media
Ukisha fungua naomba niambie umeona mafail yameandikwa nini sababu sim nyingi zimetofautiana katika hii atua
 
Download aplication ya root browser
1.fungua root browser app na nenda kafungue mafail yafuatayo
2.system
3.media
Ukisha fungua naomba niambie umeona mafail yameandikwa nini sababu sim nyingi zimetofautiana katika hii atua
nimeona audio.images.video.bootanimation.zip.boot ringtone. na zip ya kuzma na tone yake
 
Bro mi app ya play store imegoma kufunguka kwa muda mrefu sasa. Inasema server error
 
nimeona audio.images.video.bootanimation.zip.boot ringtone. na zip ya kuzma na tone yake

Fungua file la audio alaf fungua ringtune utaziona
1.nenda ka download ringtune unayoitaka alaf hifadhi kwenye memory
2.fungua kwenye ringtune za sim kama nlivo kuelekeza mwanzo
3.chagua lingtune unayotaka kuifuta iguse kwa muda mrefu alaf bonya permission na kalili au note pembeni tiki zilivokaa
4.nenda kwenye storage file .fungua mahali ulipohifadhi downloaded ringtune
5.ipe jina la ringtune unayotaka kuifuta katika system media bila kukosea
6.i copy na uka paste kwenye system ambako ringtune za sim zinakaa
7.futa ringtune ambayo jina lake limetumiwa na lingtune mpya
8.ibonye kwa muda mrefu ringtune mpya alafu chagua permission na weka vitiki kama ile ringtune ya mwanzo
9.zima na washs sim yako itakua tayari

Note:kuwa makini na hio app sababu changes zozote utakazo zifanya haziwezi zikarudi hata ukifanya factory reset/factory restore
 
Bro mi app ya play store imegoma kufunguka kwa muda mrefu sasa. Inasema server error

download app ya link2sd na itumie kufuta app ya
1.google play services
2.play store

download upya version tofauti za hizo app na install zote ukimaliza fungua link2sd na ziguse kwa muda mrefu alafu chagua convert to system app .ukimaliza bonya upande wa kushoto juu katika link2sd bonya reboot alafu ikiwaka sim jaribu kutumia
 
mimi nataka kubadili neno tecno ikiwa inawaka..natumia tecno.D9

Download aplication ya root browser
1.fungua root browser app na nenda kafungue
mafail yafuatayo
2.system
3.media
Ukisha fungua naomba niambie umeona mafail
yameandikwa nini sababu sim nyingi
zimetofautiana katika hii atua
 
Hata mm kwang inakataa mi nlitaka kunadilisha nyimbo ukizima cm na logo yake
 
Back
Top Bottom