Search results

  1. S

    Mizani bei gani?

    Heshima kwenu wakuu,naomba anayefahamu bei ya mizani inayotumika madukani/sokoni kwa ajili ya kupimia unga,mchele,sukari n.k anifahamishe inauzwaje na hapa Dar inapatikana wapi?
  2. S

    Kondom nyingi zinavaliwa zikiwa zimepungua ubora wake.

    Heshima yenu wakuu.Kondom ndio mkombozi wetu mkuu katika maisha ya ngono.Tatizo kubwa linaanza kwenye ufunguaji wa hiyo zana,kondom zinafunguliwa kwa meno,hapa mihemko ndio adui mkuu,wanaume tuna haraka sana baada ya kuandaana,tunaona tunachelewa,njia rahisi ni kufungua kondom kwa meno,KOSA...
  3. S

    Bataaaa,habari ndio hiyo.

    Si unajua bata dume anavyolia?kuna jamaa aliiba bata dume watatu,wale bata walikuwa wanalia sana.Katika kuua so hasikamatwe jamaa akawa anawajibu wale bata kila wanapolia.BATA "Ha,ha".MWIZI "Habari ndio hiyooo.Mwizi akatengeneza chorus kama Mwana FA.Ha ha,habari ndio hiyo,ha ha,habari ndio hiyooo.
  4. S

    Nimeruka ukuta.

    Nimekuja kujisalimisha,niliingia majukwaa mengine ya JF bila ya kupitia hapa.Hakuna sababu ya kuniitia mwizi,nipo mlangoni hodiiii.
Back
Top Bottom