Search results

  1. Chebyshev

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Ukweli kuhusu Qnet na hii nmekuja kujua baada ya rafiki yangu wa karibu ambae nlkuwa namchukulia kama ndugu kunilaghai na kuniingiza kwnye hayo matatizo. Nasikitika nlimuamini sana rafiki yangu na hiyo kitu ikaja kunicost. Qnet ni matapeli sana, they will tell you everything ili uingie kwnye...
  2. Chebyshev

    Queen of South season 2

    Hii series ni kali sana. Nimeangalia season 1 na 2. Moja kati ya series kali kwa kipindi hiki
  3. Chebyshev

    Kuna Majogoo wa Jirani wanawika Saa 6 hii ya usiku je ni Majogoo kweli au ndiyo wale Ndugu zetu?

    Inawezekana ndio mkuu, especially kama hayo majogoo yakiwa yakizungu.. hayanaga formula za kuwika.
  4. Chebyshev

    Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    A Walk To Remember The Chance Notebook When Harry Met Sally Love Actually Dear John P.S I Love You
  5. Chebyshev

    Tukio lililo mtoa machozi

    Story inasikitisha ila nimeisoma kwa shida sana. Kama wewe ndo umehitimu chuo kikuu na uandishi wako ndo huu, napata mashaka.
  6. Chebyshev

    Wadada mnapofulia huwa mnatumia mbinu Gani?

    Daah we acha tu, now imebaki historia. ile ndo ilikuwa Milan yenyewe
  7. Chebyshev

    Wadada mnapofulia huwa mnatumia mbinu Gani?

    Shida na mateso kaumbiwa mtoto wa kiume.
  8. Chebyshev

    Naomba kufahamishwa kampuni nzuri ya bima za Magari ambao siyo wasumbufu

    Mkuu sorry kidogo... hivi SANLAM before ilikuwa sio African Life?
  9. Chebyshev

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Kijana pole sana, ila bado hujachelewa.. unaweza kubadili mtazamo na kumrudua muumba wako kwa toba. Wewe kuendelea kuwa hai licha ya maovu yako yote huwez juwa Mungu ana kusudi gani na wewe. It's never too late
  10. Chebyshev

    msaada gharama za hostel udsm.........

    Kaka kwa main campus ni sh 800 per day na mabibo ni sh 500 per day NB: washapanga tayar majna ya accomadation xo jicheki ili ujue umepata wapi
  11. Chebyshev

    Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    Hey ze duduz, nmepata 3,705,500. Ada yangu ni 1,300,000 nmelamba % ngapi hapo?
  12. Chebyshev

    nisaidieni hili wana UDSM

    hyo pesa unalipa yote kwa mkupuo. Na vile vile ada ya actuarial science ipo ndani ya ada zote za CONAS ambayo ni sh 1,300,000.... Kama umepata hiyo mkuu tutakuwa wote because na mimi nimepata hiyo hiyo. hope umenpata vizuri
  13. Chebyshev

    Kweli wadada hiii ni sahihi?????????

    pole sana kwa matatizo
  14. Chebyshev

    sogea uko....

    Duuuh kumbe mpaka makofi yapo...!
  15. Chebyshev

    Yote haya kisa dini tofauti

    ahsante sana kwa ushaur wako. Mungu akubariki
Back
Top Bottom