Search results

  1. CRISTA

    Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  2. CRISTA

    Nizingatie nini na kwenda kuonana na ndugu wa binti wa kimeru

    Kwanza nikupe Hongera kwa Nia kutaka kuoa,inaonyesha ni kw a Jinsi gani unahitaji kujenga familia na mwezi wako Turudi kwenye Mada,unapoingia mw 1.Hongera kwa kupevuka Hadi kufikia kuoa 2.Kwa kuwa umekubali kupevuka zingatia msimamo wako bila kuyumbishwa na watu tofauti tofauti vinginevyo...
  3. CRISTA

    Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

    Eti Nina anamtega kimapenzi Ntando mtoto wa Lincorn,ili kulipiza kisasi kwa Lincon ambaye amemtema na kwenda kwa Lungi Lungi nae anamzingua Mzee Lincon kwa sababu ya umbea toka kwa Seshaba kuwa Lincon alimuua Mke wake. Hedrick nae stress tupu na familia yake,wife amekaza kumsamehe kwa kosa la...
  4. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Ukweli mama yangu ni muongeaji cna na ni mtu wa fact yaani yeye hapindishi ukweli ni ukweli na sisi tumelelewa hivyo nakumbuka kipindi cha uchumba kuna kipindi Wife alipitiwa kidogo mama alimuita na kumkanya waziwazi basi toka kipindi hicho mke hamkubali kabsa nilishawahi kumwambia toka cjamuoa...
  5. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Asante, sana kwa ushauri Nitajitahidi
  6. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Asante cna, sehemu anapkaa Mama Yangu unapanda dala dala kufka Huko na mimi Ndio Niko karibu na Mama yangu Ndugu zangu wengine wapo nje Ya mkoa huu. Hivyo mara nyingi mimi Ndio Nategemewa kwenda kumsabahi mara moja moja ukizingatia ni mjane
  7. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    kwa hiyo ndo maisha hayo, maana kipindi cha nyuma kuna Mzee mmoja aliwahi kuniambia hao kuna kitu wanagombania sasa cjui Nini mpaka leo Cjajua
  8. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Habarini !! Tayari nilifanikiwa kupata mke miaka miwili sasa na mtoto juu, ila Mke na Mama yangu hawaelewani kila cku maneno mke hamsikilizi mama kwa chochote ukifka kwa mama naye malalamiko, nilishawahi kumkanya Kidogo mke kuwa mvumilivu na Mama yangu lakini imeonekana kuwa ngumu, ingawa...
  9. CRISTA

    Mwanamke na kinyongo

    Habarini! Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti mama yangu anamchukia cna hampendi ni kweli kipindi cha miaka miwili ya Nyumba mama alitaka kumkataa...
  10. CRISTA

    Nimezama kwenye penzi la Askari Polisi

    Pole ndugu. Maana..... Anyway jaribu
  11. CRISTA

    Wanawake wenye umri chini ya miaka 25 ni changamoto katika ndoa

    Mungu is not equivalent to mungu. Be careful
  12. CRISTA

    Wanawake ebu mtudhibitishie hili

    Eti hii nayo ni post, watu wengne Wana utahira
  13. CRISTA

    Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Ikiwa utakuwa na mawazo ya kufikirika na kuhc kuwa hutaweza kuoa msomi na usioe kamwe oa darasa la saba kabsa but ikiwa utaoa form 4 au diploma elewa atakuja kujiendeleza tuu labda uwe milionea. Na Kwa kifupi tuu
  14. CRISTA

    Hivi ni kwanini watu wasio makini huwa na bahati sana?

    Ni kweli hata wasiokuwa makini kuchagua mke huwa wanapata wake wazuri
  15. CRISTA

    Itambue tabia yako ya leo

    Nondo;uko vema
  16. CRISTA

    Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Habari, Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti. Mchumba wangu huyu ni...
  17. CRISTA

    Anakosa kibali kwa walio wengi

    Wana jf; natumai ni wazima wa afya njema;nina mchumba (elimu ya chuo)ambaye tuna miaka takribani miwili sasa.ila toka nianze kuwa nae mara nyingi watu wangu wa karibu wa kike na wakiume huwa hawamkubali cna na hata nikimleta kwa watu kwa mara ya kwanza watu huwa hawamkubali labda wakae nae kwa...
  18. CRISTA

    Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa?

    Mbona iko wazi rudia kusoma genetics olevel.kuchanganya damu karibu si vema kwa afya ya akili hata kama isipotokea kwa mtoto wa kwanza itatokea kwa vizazi vingne.pole ingawa maneno yangu si sheria unaweza kuendelea na mchakato!
  19. CRISTA

    Wanaume halisi hawafanyi haya

    Kuna jamaa humu anaitwa bujibuji avator yake inafanana na comment zake!
Back
Top Bottom