Search results

  1. Dafo

    Car4Sale Suzuki Carry for sale

    SUZUKI CARRY FOR SALE Year: 1996 Engine Size: 650cc Fuel: Petrol Mileage: 53,000km Transmission: Manual (5 gears) Usage: Private Service : Well maintained Price: 8.5 Million Contact: 0786647564 (Owner) Location: Kigamboni- DSM
  2. Dafo

    Msaada wa tafsiri ya warning light hii kwenye Suzuki Carry (Kirikuu)

    Wakuu habari za asubuhi, Tafadhali naomba msaada nilikuwa naendesha Suzuki Carry (kirikuu) lakini ghafla ikawasha hiyo warning light kwenye dashboard. tafadhali naomba kuelewa hiyo taa inamaanisha shida iko eneo gani au shida ni nini kabla sijaenda kwa mafundi wetu?
  3. Dafo

    Nyumba inauzwa Kinondoni

    Heshima kwenu wakuu. Nyumba inauzwa ipo Kinondoni Mkwajuni. Sifa za Nyumba: Nyumba kubwa ina vyumba vitano, vitatu vinawapangaji viwili vimeezekwa havijawekwa milango wala madirisha. Na kimoja kati ya hivyo viwili ni “master bedroom”. Pia kuna vyumba viwili vingine vya uani navyo vina wapangaji...
  4. Dafo

    Incubator ndogo na washing mashine vinauzwa.

    Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/= Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa anayehitaji anaweza kuni PM. vitu vyote vipo dar.Asanteni.
  5. Dafo

    Helloooo....!!!!

    Habari wanaJF...baada ya kutembelea sana kama guest sasa nimeamua kuingia mzima mzima kwa miguu yote, natumaini wanajf mtanipokea. Asanteni.
Back
Top Bottom