Nyumba inauzwa Kinondoni

Nyumba inauzwa Kinondoni

Dafo

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
75
Reaction score
69
Heshima kwenu wakuu. Nyumba inauzwa ipo Kinondoni Mkwajuni.
Sifa za Nyumba: Nyumba kubwa ina vyumba vitano, vitatu vinawapangaji viwili vimeezekwa havijawekwa milango wala madirisha. Na kimoja kati ya hivyo viwili ni “master bedroom”. Pia kuna vyumba viwili vingine vya uani navyo vina wapangaji, kwa ujumla nyumba ina vyumba saba.
Mahali ilipo: Ipo Kinondoni mkwajuni nyuma ya nyumba za zamani zilikuwa za NHC. Kwa kutembea hadi kituoni ni dakika 7 hadi 10. Gari haifiki hadi nyumbani.
Bei: Nyumba inauzwa kwa Shilingi Milioni 70 (70,000,000/=)
Mawasiliano: 0788 562143 / 0653 685339.
Asante.
 

Attachments

  • DSC02144.JPG
    DSC02144.JPG
    1.6 MB · Views: 153
  • DSC02140.JPG
    DSC02140.JPG
    983.5 KB · Views: 122
  • DSC02138.JPG
    DSC02138.JPG
    1.4 MB · Views: 197
  • DSC02137.JPG
    DSC02137.JPG
    1.4 MB · Views: 130
You can't be serious otherwise tell us that our currency is bordering that of Zimbabwe during hard times.
 
Hiyo nyumba atayenunu 70ml labda awe hana akili nzuri!!! Eneo g1ri halifiki ina maana hata kiabiashara hapalipi. Kupanga hadi uje upate 70ml ni lini??? Mpaka hapo inaonekana kiwanja hicho hakijapiwa.

70ml ni akheri nijenge nyumba nyingine kwa plan yangu kuliko kununua nyumba ambayo haina dressing!!!

Pole kama nitakuwa nimetia kitumbua mchanga lakini huo ndiyo ukweli.
 
mkuu kama kweli ndio hii nyumba yenyewe..basi punguza bei...
kaka huoni kuna nyumba mbili hapo ingine ndogo(angalia picha palipoanikwa nguo) ndio maana ikawa bei hiyo,pia kuna bonasi ya kuvuna maji wakati wa msimu wa mvua na vibaka,chezea mkwajuni wewe
 
kaka huoni kuna nyumba mbili hapo ingine ndogo(angalia picha palipoanikwa nguo) ndio maana ikawa bei hiyo,pia kuna bonasi ya kuvuna maji wakati wa msimu wa mvua na vibaka,chezea mkwajuni wewe
..vibaka wa mkwajuni..changa na wale wa hananasif..mh..hahahahahaha..hiyo nyumba ndogo nilijua choo
 
Kwa uzoefu wangu nyumba hii itakuwa ya urithi; kesi ya mirathi imefunguliwa? maana kuna uwezekano wa kupigwa changa la jicho hapo
 
wakuu nyumba sio ya urithi mimi ndiyo mmiliki,nyumba ndogo ipo kwa nyuma sio hiyo inayoonekana.Hiyo bei tajwa ila mteja anaruhusiwa kubargain.asante
 
duh nimeamini dalali anakula kuliko mwenye nyumba milioni 67,000,000 zote hizo unapeleka wapi ndugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom