Search results

  1. Roho Mbaya

    Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Tatizo lenu wanawake mkishapata ndoa, mnajisahau mnaona mmemaliza kila kitu hata penzi (tendo la ndoa) tunapata kwa shida hivyo lazima tujiongeze kukabiliana na hali
  2. Roho Mbaya

    Hivi hii nchi yetu yote hakuna sehemu kuna mafuta tuchimbe?

    Yapo ziwa nyasa ingawa wamalawi wanasema ziwa ni la kwao
  3. Roho Mbaya

    Msaada magari ya IT ya kwenda Mwanza usiku

    Hakuna IT inayofika Mwanza zote zinaishia njia panda ya kuelekea kahama
  4. Roho Mbaya

    Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Ameanza kampeni za urais sasa ni zamu ya kanisa kwa kanisa
  5. Roho Mbaya

    Tabia ya Sekretarieti ya Ajira kupanga usaili Jumamosi ni kama ubaguzi kwa Wasabato

    Tambua kuwa dini zilikuja kwa meli, Kazi ni msitakabali wa Maisha yako tofauti na hapo kuwa mchungaji
  6. Roho Mbaya

    Serikali zuieni chakula kuuzwa nje ya nchi, hali ni ngumu. Mbona mmeziba masikio?

    Serikali ianzishe mashamba yake, mimi hapa shambani kwangu nimelima mahindi ya biashara na akiba ya kutosheleza mwaka huu
  7. Roho Mbaya

    Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Kwa bahati nzuri nimepata abiria wangu, ingawa kwa leo nimepata watatu bado ipo nafasi moja, tuendelee kupeana moyo hii ni njia mojawapo ya kupambana na ugumu wa Maisha sioni haja ya kuvunjana mimi nimeweka hapa jamii forum, lakini kuna member wengi humu hii hoja wameichua na wameanza kuifainyia...
  8. Roho Mbaya

    Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Kwa wale walionicheki Pm ntawapitia kwenye vituo kama tulivyoelekezana
  9. Roho Mbaya

    Kitimoto nacho BEI JUU!

    Itashuka sababu ilikuwa mwezi wa ramadhani
  10. Roho Mbaya

    Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Huko nahitaji maeneo kama nilivyoelekeza hapo juu
  11. Roho Mbaya

    Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Kweli kabisa Mkuu, ndio maana tunapambana kutafuta namna kuishi. Mfano wiki iliyopita nilienda Dodoma kikazi nikapita mbezi Stend nikachakua vichwa vyangu vinne na wakati hivyo nikapita pale CBE nikabeba vichwa vyangu vinne kurudi Dsm na kila kichwa 25000 kwa kila kichwa unaachia buku mpiga debe...
  12. Roho Mbaya

    Ninaishi Madale, nahitaji abiria wanne wa kuchangia mafuta kwenda Posta

    Mkuu hilo halina shida, lengo hapa ni kukabiliana na hali ngumu ya Maisha
Back
Top Bottom