Search results

  1. Bravo Engliash

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Umughaka...Mzee wa mizagazuguano...hongera sana kwa stori zako
  2. Bravo Engliash

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ila Umughaka umetisha sana....kumpelekea moto wa nguvu msukule....huo ujasiri wa kiwango cha kimataifa...daaaah aisee 🤣🤣🤣
  3. Bravo Engliash

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Kupitia stori yako nimejifunza na kulink matukio/stori tunazosikia mtaani......utasikia tajiri wa mabasi alikuwa anawatoa kafara madereva wake lakn sasa hv kabadili anatoa kafara ya wanyama Stori nyingine kwenye magari ya watu binafsi...utasikia kiti cha mbele kina mwenyewe....mtu anafanya...
  4. Bravo Engliash

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Vp kuhusu hao wanafanyakazi ambao uliwatafutia ajira kwenye mgahawa na wanatakiwa kufa kama kafara....hukufanya mpango wa kuwashtua hata kupitia kupitia indirect ili kuwaokoa kwa huruma ya kibinadamu na huo msala wa kuwa kafara??
  5. Bravo Engliash

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Stori yako ni somo tosha sana katika maisha....kuna mengi sana ya kujifunza hasa kuhusu utajiri na tamaa ya fedha na maisha mazuri Utajiri una siri kubwa sana ndani yake....watu wengi kwenye biashara wanaamnini bila uchawi hawawezi kufanya biashara Hongera kwa mapambano yako...ujasiri wako wa...
  6. Bravo Engliash

    Aisee! Facebook kuna vituko

    Hahaaaa kweli kabisa
  7. Bravo Engliash

    Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

    Tusiwe wepesi sanawa kuhukumu mapema. Ukisikiliza interview zote za Dkt.Shika utagundua kuwa he is very smart na sivyo kama jamii ilivyokuwa na inavyoelewa
  8. Bravo Engliash

    Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

    Kweli kabisa, waTz tunahukumu mapema sana kutokana na muonekano wa mtu. Tubadilike. Dont judge a book by its cover Huyu mzee yupo very smart kichwani...kama kweli hela anazo apewe nafasi azinunue...waangalie account zake kama kweli hela anazo (na sio kanjanja)
  9. Bravo Engliash

    Madame B niko online, niulize swali lolote kunihusu mimi, iwe ni Mapenzi, Mahusiano na mengineyo

    Hongera sana madame B kwa kuwa kufunguka to the maximum....aisee ni wachache sana wanaweza kuweka private lives zao kwenye social media kama hapa.
  10. Bravo Engliash

    Ushungi kitu gani bana?

    Kama unatumia simu...click (bonyeza) hiyo picha halafu itatanuka kwenye screen (zoomed out...halafu juu upande wa kulia wa somu utaona vi-doti (dots)....click hapo halafu utaona option ya ku-save picha
  11. Bravo Engliash

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mkuu hiyo avatar yako hatarii sana...watakuwa ni watu wasiojulikana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Bravo Engliash

    Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

    Ron Pope - A Drop in the Ocean
  13. Bravo Engliash

    Wapenzi wa muziki wa Pop tukutane hapa!!

    1. Ellie Goulding - Burn 2. Lauren Alaina - Next Boyfriend Zipo vizuri sana aiseeee.
  14. Bravo Engliash

    Data recovery software...msaada!

    Msaada tafadhali wa kuzirekebisha data zifunguke
  15. Bravo Engliash

    Data recovery software...msaada!

    Mimi nilitumia i-Care Data recovery data zimerudi lakn hazifunguki....mfano images (picha) na documents
  16. Bravo Engliash

    Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

    The Bold...big up sana kwa makala zako....kazi nzuri kuelimisha jamii. Nimeipenda sana ile thread yako ya "Behind the Scene September 11" Naomba uni-tag ktk makala zako.
  17. Bravo Engliash

    Changamkieni nafasi za kazi LAPF

    Mimi nimetumiwa msg leo saa 2 usiku
  18. Bravo Engliash

    Changamkieni nafasi za kazi LAPF

    Wewe ndio unapotosha watu, wameanza kuita kwa kutumia msg, usaili ni trh 26/04/2017 mahali DUCE muda saa 02:30 asbh
Back
Top Bottom