Kweli kabisa, kuna vitengo vitakuwa havina umuhimu tena katika biashara hizi za vinywaji vikali na baridi. Mimi nafikiri hizi bei za vinywaji hivi ilikuwa ni maalumu kwa watu maalumu, na sehemu maalumu ambazo watu hao maalumu wanaishi ili kuwaburudisha kutokana na majukumu yao maalum.:msela:
Mtoa mada frame vizuri statement yako maana ni kweli kabisa, Baada ya shughuli zangu za shamba wikiendi nataka kurudi nyumbani, shambaboy wangu kaniambia boss wakati wa kuondoka nikuoneshe sehemu ya bia ya bei chee, kweli tulifika hapo yaani hata viti tukakosa lakini maeneo yenyewe ni uswahilini...
Bibi Bomba amelikoroga lazima alinywe, bora alivue taji mapema kabla hajavuliwa huo ni ukweli!!
na huyu Lundenga kila mara anatajwa kwa kashfa kwentye hii tasnia ya ulimbwende, kwani haiwezekani kuondolewa ?
BASATA mnafanya nn ?
Naomba msaada kwa wataalamu wa magari ili niweze kujua ni engine gani ya Toyota inafaa hapa
baada ya hii nissan GA 16 ya ulaya kunisumbua sana naomba msaada wenu.
Shamba lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa, lipo barabara ya kwenda Nyumbu / Msangani
lipo ndani ya miundombinu. kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba hii. +255 755 233 243
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibaha inakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga yard ya kuuzia magari, Kujenga Hotel pia kujenga Kiwanda. Kiwanja kipo eneo la Miembesaba pembeni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.