Search results

  1. M

    Saa ya ukombozi

    Eee Mungu watumie wakatholiki kuikomboa Tanganyika, waraka wa Kanisa umegusa sii tu Bandari, Bali madini, Loliondo, Bunge, Mahakama. Haijawahi tokea. Kwa mara ya kwanza kanisa la Tanzania limetikisa mihimili yote mitatu, Ukombozi wetu upo karibu, Waumini wa kilutheri ambao wanakubaliana na...
  2. M

    Ni wakati wa wazanzibar kutuchuna

    Subiri uchunwe
  3. M

    Wito Kwa Rais Samia, Usiingie Kwenye Mtego wa Udini Kwa Kukumbatia Maagizo ya TEC

    Hawa watu wasiosoma mkataba wanakimbilia kusaini ndio wanaotusumbua humu kwenye mitandao , hata msg hawasomi wao wanajua kubishana tuu
  4. M

    Ni wakati wa wazanzibar kutuchuna

    Tulieni hivyo hivyo, hakuna jinsi tutachunwa Hadi akili ziturudie, aliyewalaani amekufa, watu na akili zenu mnaikana Tanganyika mlifikiri mtakuwa salama? Mama wachune Hadi mifupa, ngedere sisi
  5. M

    Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Vipi mkuu, tumwalike Mungu aje kuamua huu ugomvi? Au tusubiri kwanza
  6. M

    Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Huu ugomvi naona tena Mungu akiamua ugomvi Kwa njia ile ile
  7. M

    Tuwape pongezi polisi kwa kuzuia nia ovu kwa kuwaweka sehemu salama wahusika!

    Wangezuia wasinge kimbilia mahakamani, wananchi wanahaki zote za kuiondoa Serikali yao madarakani muda wowote, wanapohisi viongozi wamelewa na wanaihujumu nchi
  8. M

    Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Maandamano sii kosa Kupindua serikali sii kosa, Serikali zinapinduliwa Kwa njia nyingi halali , maandamano halali yanaweza kupindua serikali kihalali, acheni kukariri
  9. M

    Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Maandamano sii kosa Kupindua serikali sii kosa, Serikali zinapinduliwa Kwa njia nyingi halali , maandamano halali yanaweza kupindua serikali kihalali, acheni kukariri
  10. M

    Kikosi cha Rapid Force (UVCCM) kivunjwe

    Hili ndilo kundi la Wagner ndani ya Tanzania, wanapewa Kila kitu na Serikali , fedha , Magari ulinzi, silaha nk. Siasa za Kirusi ndani ya CCM sii jambo jipya, Miaka 6 ya Magufuli kundi hili la Wagner lilipata nguvu ya kipekee sana, Kila wanapohisi upinzani unapata nguvu, CCM huwapa uhuru...
  11. M

    Uwepo wa Wagner Group Africa ni tishio kwa usalama wa nchi zetu

    Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa. Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi. Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua...
  12. M

    Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Hii ni mbinu ya kuwatisha CDM, ukweli IGP hana mpango wa kuwafungulia mashitaka kina Slaa maana kwanza hakuna hoja yenye mashiko, anachofanya ni very psychological, anatuma ujumbe Kwa Mbowe na Lisu indirectly, nafikiri ujumbe umefika, angalia wiki hizi mbili, wapo wapi kina Mbowe na Lisu...
  13. M

    VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

    Nimepanda boda boda leo, kwenye stories kaniambia sababu ya kifo Cha Rais ni pale alipogusa utukufu wa Mungu, kwamba tulimsifu kupitiliza, sasa hii ya kusigina Bible ni kubwa jingine hilo
  14. M

    Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

    Mbona ni story ya kweli soma history ndugu, sawa na Sultan
  15. M

    Changamoto za choo cha kukaa na jinsi ya kukabiliana nazo

    Jenga tabia ya kutembea na sanitizer, irakusaidia siyo kwa Covid19 tuu Bali na magonjwa ya ngozi, UTI nk
  16. M

    Uchaguzi 2020 Sababu ya Upinzani kuanguka 2020

    Upinzani hususani, CUF na CDM wapo hatarini kupoteza viti vingi vya ubunge, udiwani kutokana na sababu moja kubwa. Wapiga kura wamekuwa wakiwapa kura zao, wao hawajiandai kulinda kura zetu Wala kuzipigania, Wanarudi kwetu wananchi wakilia wameibiwa kura na hata kuporwa ushindi. Wananchi...
  17. M

    Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Kwa nini mnasema ni utapeli? Mbona hapa Dar yupo anayejenga nyumba kama hiyo kwa 25 milioni tuu, amefanya na anafanya wateja kibao, ndani ya siku 60 anakukabidhi nyumba yako kiwanja chako, umeme, maji ndani, 0715829576
  18. M

    Ili tuendelee tunahitaji yafuatayo

    Kama nchi yeyote ya Africa inataka maendeleo ya dhati basi katiba zao zafaa zifanyiwe marekebisho yafuatayo: 1. Jaji Mkuu ateuliwe kwa kupigiwa kura na majaji wenzake na awe huru asiingiliwe na chombo chochote kile 2. Bunge liongozwe na wapinzani bila kujali idadi yao bungeni, spika atoke...
  19. M

    Mfumo toka kuzimu

    Mfumo wa Vyama vingi je uliasisiwa Kuzimu? Huu ndio mfumo ovu kuwahi kutokea duniani, mfumo wa siasa za vyama vingi ni mfumo unaoruhusu wale waliochaguliwa kihalali kuishi nyuma moja na wale wasio watakia mema, wanabeza na wanaofanya jitihada za dhati kuhakikisha utawala halali haufanikiwi na...
Back
Top Bottom