Ili tuendelee tunahitaji yafuatayo

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
947
684
Kama nchi yeyote ya Africa inataka maendeleo ya dhati basi katiba zao zafaa zifanyiwe marekebisho yafuatayo:

1. Jaji Mkuu ateuliwe kwa kupigiwa kura na majaji wenzake na awe huru asiingiliwe na chombo chochote kile

2. Bunge liongozwe na wapinzani bila kujali idadi yao bungeni, spika atoke upinzani

3. Serikali iongozwe na vyama vyenye wabunge bungeni, chama chenye wabunge wengi kitatoa Rais wa nchi, chama kilichoshika nafasi ya pili kitatoa Waziri Mkuu.

Je unafikiri ni nchi ipi Africa inaweza kuyakubali mawazo haya kabla ya 2025?
 
Kwa mfumo huo, tutajikuta tunaingia kwenye matabaka na kumalizia vita vya wenyewe vitakavyo sababisha mauaji ya kimbari
 
Back
Top Bottom