Search results

  1. I

    Dowans: Another Richmond in making?

    hahahaha kopi ya amatus liyumba. Im wondering at tanzanians 'how can u even think of leaving the guy in the office by this moment??" the way i know him,angekuwa kweli ana sababu muhim na zenye manufaa kwa taifa idrisa ninayemjua mimi angeshawaonyesha waandishi barua ya kujiuzulu.....huwa hana...
  2. I

    Mkurugenzi mtendaji Gotham ni Mkurugenzi wa utafiti na ICT - TIC

    Tanzania sijui ni lini mtaamka ofisa wa serikali ngazi ya ukurugenzi anaanzisha kampuni akiwa ndani ya serikali then ana-apply kuishauri serikali anapewa mkataba bado watu wanasema kulikuwa hakuna mchezo mchafu? Pambanueni wadanganyika muone wenyewe kampuni hiyo na huyo JJ Kyaruzi ambaye...
  3. I

    Mawaziri waghushi vyeti

    TEMBELEA List of unaccredited institutions of higher learning - Wikipedia, the free encyclopedia http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_unaccredited_institutions_of_higher_learninghttp://en.wikipedia.org/wiki/List_of_unaccredited_institutions_of_higher_learning
  4. I

    TBC kutangaza Kiswahili ni sahihi?

    Wakuu mimi tatizo langu sio kiswahili na ninampinga netanyau kwa sababu kama za zenu hapo juu ili kinachoniumiza na tbc ni 1. Kuonekana kwake kwa maeneo mengi hususani dar ni mpaka uwe na setelaiti dish-kabla ya kuingia kwenye satelaiti walitakiwa wahakikishe inapatikana locally vizuri kama itv...
  5. I

    Mzumbe dons in PhD scam

    Jamani mimi sijua kama nitakuwa nadakia jambo nisilolijua vizuri ila kuhusu hali halisi la academics qualifications kuwa feki au laa serikali bado hajafanya jambo lolte to stop this. Hii inatokana na ukweli kuwa walio wengi na wenye madaraka nchi hii ni vihiyo sana kuna mwanaJF mmoja...
  6. I

    Mzumbe dons in PhD scam

    Jamani mimi sijua kama nitakuwa nadakia jambo nisilolijua vizuri ila kuhusu hali halisi la academics qualifications kuwa feki au laa serikali bado hajafanya jambo lolte to stop this. Hii inatokana na ukweli kuwa walio wengi na wenye madaraka nchi hii ni vihiyo sana kuna mwanaJF mmoja...
  7. I

    CV za MaCEO wa Serikali

    Kifo, mie nimekuelewa vizuri inaelekea unataka cv zao kwa kucheki maovu hasa ili yajulikane manake umeanza kwa kutoa maovu kidogo. Kaka/dada mie nina usongo na huyo Kamuzora. Hivi insurance industry inafanya nini kwa taifa hili?? Kwa taarifa yako huyo jamaa hana shule kabisa na inasemekana...
  8. I

    Tanzania National Identities

    HIVI SERIKALI HAIJAMCHOKA TU HUYU MAIMU NA MIRADI YAKE MIBOVU YA ICT PALE UTUMISHI WAKISHIRIKIANA NA SAWE. HAWA JAMAA WANADIDIMIZA ICT NA KUIFANYA IONEKANE NI KITU KIBAYA KATIKA MAENDELEO YA NCHI KWANI WAMEANZISHA MIRADI YA MA-ICT SPECIALIST AU EXPERT AMBAO WALIWAPATA MTAANI KWA KUJUANA NA...
  9. I

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Habarini za Baraza jipya wanaJF,leo nataka niwaletee habari ya Masha na watoto wa Lowassa waliandaa sherehe ya kumuaga au kama sio kupongeza mzee wao mpendwa na fisadi. Majuzi sherehe hiyo iliandaliwa mahususi kumpongeza kwa kufisadi watz for two years!! Ilikuwa kama ni kulipiza mapigo ya ile ya...
  10. I

    Mkewe Lowassa analia

    hayo ni ya kweli tupu na sio hao tu kuna kina Happiness wa Multichoice wote hao wanalia sasa,ndugu yangu jamaa alikuwa fisadi mpaka katika mapenzi kwani amekula mpaka visivyolika wakisaidiana na mkewe...kama wana kale kaugonjwa mbona kazi ipo!!!Ndesa na Ole Sendeka walijua kwanini anyongwe!!
  11. I

    Mkewe Lowassa analia

    Cola its cool,that fact stands!!
  12. I

    Mkewe Lowassa analia

    Mama huoni aibu,mapesa yote uliyokuwa unahonga vijana ili wakustareheshe huyakumbuki!!??Shetwaini wa kike usiye hata na chembe ya aibu kwa mwenyeziMungu!Inasikitisha sana kuona hata mke wa Lowassa alikuwa typical fisadi...tena walikuwa wanasaidiana na EL kufisadi hadi mapenzi.China iko wapi...
  13. I

    Transformer ya Lowassa PPF Tower

    Huwezi ukaamini ndugu yangu kumbe Lowassa alianza haya mambo siku nyingi na ndio sabab Nyerere alikuwa hamtaki. Inasemekana Lowassa aliagiza transformer iweke pale PPF Tower pasipo ridhaa ya wenye jengo wa Tanesco ili ihudumie dry cleaner ya mtoto wake!Hivi jamani jk haoni kuwa yuko na mtu...
  14. I

    Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Mtawala wa forum hii na wote kwa ujumla napenda kuwapa mada hii iwe kama ni ushahidi mojawapo wa sakata la BoT. Hili suala la watoto wa vigogo kuajiriwa Bot si la uongo kwani 1. Rogers Sumaye alipata ajira hata kabla hajamaliza shule Uk kwani kuna watu walianza kufanya interview za...
Back
Top Bottom