Transformer ya Lowassa PPF Tower | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Transformer ya Lowassa PPF Tower

Discussion in 'Celebrities Forum' started by izihaka, Jan 31, 2008.

 1. i

  izihaka Member

  #1
  Jan 31, 2008
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huwezi ukaamini ndugu yangu kumbe Lowassa alianza haya mambo siku nyingi na ndio sabab Nyerere alikuwa hamtaki. Inasemekana Lowassa aliagiza transformer iweke pale PPF Tower pasipo ridhaa ya wenye jengo wa Tanesco ili ihudumie dry cleaner ya mtoto wake!Hivi jamani jk haoni kuwa yuko na mtu ambaye alikataliwa siku nyingi????????? huyu jamaa hana sifa za kuwa kiongozi mwadilifu kwani hata richmond yumo pia. he began long ago messing with tanesco
   
Loading...