Search results

  1. Paloma

    Happy Birthday Sosoliso........!!!

    A very happy birthday to my love, my friend and the sweetest cc ozzbend ever, babe sosoliso! Mwenyezi Mungu akujaalie maisha yenye furaha na amani, upendo na baraka tele! babe sosoliso! keki yako hiyooooo..................enjoy ila usile peke yako utaoza meno...maana ni tamu sana...
  2. Paloma

    Msaada: Mwalimu wa Kufundisha Kiswahili kwa Wageni!

    Habari ya leo waungwana wa jukwaa hili la lugha yetu adhimu ya kiswahili! Ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi nitapata mtaalam wa kufundisha kiswahili kwa wageni/wahamiaji halali. Nadhani nikisema wageni/wahamiaji halali ninaeleweka. Wageni hawa wanaongea lugha ya kiingereza. Wageni wapo Dar es...
  3. Paloma

    Happy Birthday Amu...........

    Dear amu I wish you all the best and that your days will be filled with favor and blessings. Kila unayoyapitia yachukulie kama blessings na yakujenge uzidi kuwa mtu mwema as you grow old! me busy baking you a cake......... I will pray that you will receive more than what you hoped and...
  4. Paloma

    Tumuombee Dua Mtambuzi Apone Haraka!!!

    Wapendwa wana JF Social Lounge (source hapo juu) MwanaJF mwenzetu Mtambuzi anaumwa jamani, na hali yake si nzuri kiasi cha kumlaza nyumbani akiwa hoi. Nawaomba kwa dhati kabisa kila mmoja wetu amuombee kwa imani yake apate kupona, arejee tena katika shughuli zake za kujenga taifa, na shughuli za...
  5. Paloma

    Wanafunzi wa nchini India waja na teknolojia mpya ya kuwanasa wabakaji!!!!!!!!

    Wanafunzi wawili huko India wamebuni kivazi cha ndani cha wanawake maarufu kama sidiria…ama bra maalumu ambapo lengo lake ni kusaidia kukomesha wabakaji!!! (mabwaku!!). Bra hiyo ya aina yake imebatizwa jina la “Society Harnessing Equipment" na mmoja wa wabunifu hao aitwaye Manisha Mohan...
  6. Paloma

    Ndoa Poa........

    Sikua marafiki watatu saudari Safari_ni_Safari na sosoliso walipouaga ukapera! Picha kwa hisani ya Boflo...............Enjoy!!!
  7. Paloma

    TANZIA: Mjeda wa Leo Tupo Hapa Pub (kaka wa Mtambuzi) afiwa na Mwanae...............

    Kwa niaba ya .............. ninasikitika kuwapa taarifa ya msiba wa mtoto wa Mjeda wa Leo Tupo Hapa Pub na Mtambuzi, aliyefariki leo alfajiri hospitalini alipolazwa kwa matibabu, kwa kuugua muda mfupi. Msiba upo nyumbani kwa Mjeda Mwenge, maghorofa ya jeshi karibu kabisa na TRA. Mipango ya...
  8. Paloma

    Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

    Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!:peace: Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni…..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba, bamdogo, bamkubwa wetu, babu yetu, mpenzi wetu MJEDA wa LEO TUPO HAPA Pub anatarajia kuadhimisha...
  9. Paloma

    Mwanamke akipoteza stara yake, ni rahisi kwa vijana pia kupotea!!!!

    Tusaidiane kutunza stara zetu kuokoa vijana katika jamii yetu!!! Happy Women's Day!! :A S-heart-2:to all JF Women
  10. Paloma

    Mende!! Mende!!

    wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!! kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!! Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation...
  11. Paloma

    Big Up to JF Chit Chatters Dar Wing!!!!!!!!! Asanteni sana kwa kunipa Tabasamuuuuuuuu!!!!!!!!!

    helloooooow JF Chit-chatters!!! Heshima kwenu nyote! Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kuwaSHUKURUNI nyote kwa dhati kabisa ya moyo wangu kwa kushehereka nami kutimiza miaka kadhaa(uuuuwi kwa spidi ya ajabu nakaribia naniliu...siwez hata sema hilo neno) katika dunia hii yenye...
  12. Paloma

    Miguu inatoa mlio, msaada tafadhali

    Hello wana JF na FJ Doctor. Kuna dada hapa offisini kwetu akivaa viatu vyenye soli hata nchi mbili tu magoti yanatoa sauti kama ya ile inayosikia mtu akivunja vidole (eehn jamani lugha ngumu sijui naeleweka) akivaa high heels ndo kabisaaa miguu intoa hiyo sauti hadi balaa. lakini akivaa flat...
Back
Top Bottom