Miguu inatoa mlio......msaada tafadhali!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miguu inatoa mlio......msaada tafadhali!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Paloma, Oct 29, 2012.

 1. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hello wana JF na FJ Doctor.

  Kuna dada hapa offisini kwetu akivaa viatu vyenye soli hata nchi mbili tu magoti yanatoa sauti kama ya ile inayosikia mtu akivunja vidole (eehn jamani lugha ngumu sijui naeleweka) akivaa high heels ndo kabisaaa miguu intoa hiyo sauti hadi balaa. lakini akivaa flat shoes hakuna mlio wowote. Basi mwenyewe anakerwa sana na hii hali ila hajui afanyeje. Sio mnene hivyo uzito, mwenyeweni mwembamba kabisa.

  Sasa je hii inasababishwa na nini?
  na je tiba yake ni nini? (in terms of medication, lishe, mazoezi etc)
   
 2. charger

  charger JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  Huyu mbona kama ni wewe?? Dah mpe pole ila atapata msaada tu hapa jf
   
 3. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  we umesha-charge hiyo naniliu nije.....?!?!?

  ni yeye thru mimi! coz mimi ndo niliemba msaada!
  Doesnt matter!
  We toa msaada!
   
 4. MPEPE

  MPEPE Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  VP MAJI YA KUNYWA ANA URAFIKI NAYO? KAMA YUPO MBALI NAYO INAWEZA CHANGIA.anywe maji mara kwa mara.
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,324
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Njoo tu tena nacharge bure simu aina zote!!
   
Loading...