Search results

  1. Dishunga

    Usipite bila kutoa msaada hapa tafadhali

    Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, Tatizo langu nina MB ndogo ninavyojua mimi, Mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikoloji maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale nnapokubaliwa na mwanamke, Namshukuru mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngum sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa...
  2. Dishunga

    Nahisi nina maumbile madogo, naomba msaada wa mawazo

    Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke. Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi...
  3. Dishunga

    Nani kailoga computer science bongo?

    Aliyeiloga Computer Science Tanzania naskia naye kalogwa kafa kenya kila siku wanakuja IDEA MPYA, Developers kibao Kenya lakin Tanzania wakitoka vyuo wanakimbilia kuwa mabloggers kutafuta pesa za Adsense hii si hatari jamani nahis hata kulia mtu ana bachelor yupo anamiliki blogger ina Adsense...
  4. Dishunga

    Ni benk gani nzuri kwa malipo ya Facebook ADS

    Wadau nimetumia cadi za benk mbali mbali kama BankABC, na CRDB bt napata tatizo kuwa facebook hawawezi kukata pesa zao na hivyo kubaki na deni na ads yang kuzuiliwa so naomba yeyote ambaye anatumia hii kitu atufahamishe tafadhali maana nikitumia paypal Naona makato yanakuwa makubwa
  5. Dishunga

    Naomba kujua viwango vya presha!

    Ndugu zangu hapa nilipo hali ya sinto fahamu, jana kwenye pita pita zangu nilikutana na mama mmoja nesi "nadhani" akiwa anawapima watu "presha ya mwili" ilikuwa maeneo ya sokoni na mimi nikavitiwa nikasogea nilipopima akaniambia nina presha 94 mimi ni mwembamba urefu 172cm uzito kama 63kgs ...
  6. Dishunga

    Hakuna kazi ngumu kama kuwa wakala wa vyama vinavyounda UKAWA

    Nawaonea mpaka huruma kwa sababu kwa hali inayoonekana Raia hawataki kabisa kusikia neno kushindwa hata kituo kimoja. Na hatma yao ipo kwa mawakala kwa hiyo mimi naona mawakala wasipokuwa makini wataishi kwa shida sana baada ya Uchaguzi kama alivyosema Sumaye.
  7. Dishunga

    Nauliza: Eti kuna Mungu anayeleta Amani pasipo na HAKI?

    Wingi wa matamasha ya Amani kipindi hiki ni kuashiria kuwa mungu siku hizi huwa Huwa anaombwa amani na sio HAKI kama mwenyewe anavyotaka? AU hawa waandaaji nao ni...... #WASAHAU Mungu hatendi kwa maombi yakinaafiki hata siku moja
  8. Dishunga

    UKAWA NA CCM wenye macho yanayoona vizuri wapitie hapa

    Nani anaweza kunionyesha jukwaa lipo upande gani? Chunguza picha vizuri alafu niambie.
  9. Dishunga

    Hotuba ya nyerere ITV muda huu ni mwiba mkali kwa CCM

    kama una muda tizama sahivi
  10. Dishunga

    Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

    Ni zaidi ya raha kama hali ndio hii
  11. Dishunga

    MGOMBEA CCM AWEKA TAMBIKO bodaboda walishwa

    Ni mgombea udiwani kata ya Shiri matunda amefanya tambiko kwa kuchinja mbuzi na kufanya tambiko la Damu ikachanganywa kwenye pombe ili kila atakayekunjwa pombe ile au Nyama asipompigia kura apite hiv.... MPO HAPO
  12. Dishunga

    Yahaya ndio wimbo wa kampeni chadema moshi mjini

    Yahaya ndio wimbo wa kampeni chadema moshi mjini
  13. Dishunga

    Wanazi wa CCM, hebu tuambieni kiongozi yeyote aliyeko CCM ambaye utendaji wake ni mbovu tumjue

    Wanazi wa ccm hebu tuambieni kiongozi yeyote aliyeko CCM ambaye utendaji wake ni mbovu tumjue
  14. Dishunga

    Huu mwaka tutaona mengi duuuh

    Hii picha nimeikuta mitandaoni sijui ni ukweli?
  15. Dishunga

    Wana UKAWA na Wana CCM, msikilizeni zitto hapa then maoni yako muhimu

    WANA UKAWA NA WANACCM MSIKILIZENI ZITO HAPA THEN MAONI YAKO MUHIMU
  16. Dishunga

    Ukawa msipotolea tamko maneno haya mtaanguka

    Naskitika kuona UKAWA hawatolei tamko maneno ya ambayo yalisikika kwenye kampeni za upande wa pili kwamba mkiwachachua nchi itakuwa kama Libya. NINACHOAMINI ni kwamba UKAWA wanajua wana wafuasi wengi na wapo tayari kwa mabadiliko hawajaangalia kama watu wanatishwa na baadhi yao hasa akina...
  17. Dishunga

    Haya sasa mateso, tuwe makini na kuinstall app from unknown source

    Sijui kama kuna mwingine ashapatwa na hili janga? Kuna app niliinstall from unknown ni mara nyingi nafanya hivyo, sasa simu imekuwa ina pop up full screen ad ya adchoice kila mara, nime-wipe simu mara mbili wapi tatizo halijaisha, Nimetumia ad detec app zote playstore zimeshindwa kuigundua hiyo...
  18. Dishunga

    Manunuzi ya apps play store

    Wakuu naombeni mnisaidie ji si ya kununua apps play store, Natumia exim bank
  19. Dishunga

    Jinsi ya kutumia monitor ya PC kama TV

    wakuu naombeni msaada kwa hapo nina monitor ya hp 24,6 ina DVI input only nawezaje kuitumia kama TV bila PC.
Back
Top Bottom