Ukawa msipotolea tamko maneno haya mtaanguka

Dishunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
276
58
Naskitika kuona UKAWA hawatolei tamko maneno ya ambayo yalisikika kwenye kampeni za upande wa pili kwamba mkiwachachua nchi itakuwa kama Libya.

NINACHOAMINI ni kwamba UKAWA wanajua wana wafuasi wengi na wapo tayari kwa mabadiliko hawajaangalia kama watu wanatishwa na baadhi yao hasa akina mama ambao ndio wengi wanaogopa wanaambiwa ndio wataathirika zaidi, JE HII NCHI NI SAWA NA LIBYA?

Utawala wetu wa kidemokrasia au wa kidikteta? Je atakaeshindwa akakibali matokeo vita itatoka wapi?
 
usihofu,acha jpm amwage sumu,zikisha chuja,ndio tutajibu!ila kabla ukawa hawajajibu sie uku kitaa tunatoa somo na maziwa ya kui neutralize hii sumu!kwa hiyo tamko la ukawa itakuwa ni msumari wa mwisho!ata wewe unaweza jaribu kuwaelimisha watu!
 
mbona jana kibandamaiti zenji maalim seif aliliongelea kwa kupinga vikali na kutolea ufafanuzi vizuri mkuu?
 
Hawa chadema nao sometimes wananiangusha sana! sijui tumechoka au tumelewa sifa!

Video ya lowassa tu ambayo hata sio genuine magamba wakaruka nayo, hili la libya chadema tunaendelea kupiga poyoyo tu! Kama vile tunashindwa kuendana na kasi ya mabadiliko!
 
This is a very serious ishu! Msisubiri sumu ikolee kwa wananchi, u libya upingwe kwa nguvu zote na chadema!
 
Ukimya kwa mtu anayedhamiria uropoke ni jibu muafaka sana tena lisilokuwa na utata!!..Kumbuka "Uzushi haukanushwi,kuukanusha ni kuupa nguvu"
 
Kuna mdau katoa mchango mzuri sana mi nahisi wana makusudi yao kukaa kimya muda bado UKAWA ina watu hatari sana na wenye trick za kali na za ajabu mno mwaka huu CCM wana kazi ya ziada
 
Sijamsikiliza mkuu

Wengi hawajasikia coz pahala alikotolea ufafanuzi sio murua!

Ifanywe hivi:
Two days before press iitwe. Hii ni ku draw attention kwa umma! Then u libya upingwe, na video ya lowassa ipingwe!

Chadema mnapotea kwenye game nawaona. Umma wa watz wapo delicate sana, anything can change them!

Fanyeni counter attack mapema, msisubiri sumu ienee!
 
Kuna mdau katoa mchango mzuri sana mi nahisi wana makusudi yao kukaa kimya muda bado UKAWA ina watu hatari sana na wenye trick za kali na za ajabu mno mwaka huu CCM wana kazi ya ziada

Kama hvyo sijui lkn wasilipuuze hili! nasisitiza umma wa watanzania wapo very delicate, anything can change them hasa hasa kitu hatarishi! chadema watch out!
 
Ukimya kwa mtu anayedhamiria uropoke ni jibu muafaka sana tena lisilokuwa na utata!!..Kumbuka "Uzushi haukanushwi,kuukanusha ni kuupa nguvu"

Bao la mkono! Computer kwa kila mwalimu! Yote yamekanushwa na mazimwi! Na yote hayo wamesema na jamii ikawasikia, halafu unasema upuuzi haukanushwi? Lazima ufahamu hadhira yenyewe ipoje!

Msemaji wa chama tawala anasema goli la mkono sisi tupo kimya tu! Mgombea urais wao analeta mambo ya libya sisi tupo kimya tu! Aisee inataka moyo sana hii!
 
Kama hvyo sijui lkn wasilipuuze hili! nasisitiza umma wa watanzania wapo very delicate, anything can change them hasa hasa kitu hatarishi! chadema watch out!
mwenyewe wananiuz akina mama ni waoga wakiambiwa kuwa nyie ndo mtaumia basi wanaamin
 
Magufuli katika mikutano yake mingi amekuwa akipotosha kuwa nchi yetu itakuwa kama Libya endapo mtachagua wapinzania
 
Chadema wanapenda ku dili na ishus kubwa kubwa, ishus ndogo ndogo wanaona uzushi!

Sasa kwa taarifa yenu wenye uelewa wa ishus kubwa kubwa ni wachache sana na wala hawana mzuka wa kupiga kura! Ishus ndogondogo ndio wengi na ndio wapiga kura!

Ben Saanane au afisa yeyote wa chadema wakishirikiana na wa ukawa kwa mamlaka ya chama aite press afanye yake, sio lazima maafisa wakuuuuubwa!
 
Last edited by a moderator:
Chadema wanapenda ku dili na ishus kubwa kubwa, ishus ndogo ndogo wanaona uzushi!

Sasa kwa taarifa yenu wenye uelewa wa ishus kubwa kubwa ni wachache sana na wala hawana mzuka wa kupiga kura! Ishus ndogondogo ndio wengi na ndio wapiga kura!

Afisa yeyote wa chadema wakishirikiana na wa ukawa kwa mamlaka ya chama aite press afanye yake, sio lazima maafisa wakuuuuubwa!

Hawa watu ni kuwajaazia tweet kwenye account zao labda wataamka walio lala, TUFANYE HIVYO WAUNGWANA WAPENDA MABADILIKO
 
Hawa chadema nao sometimes wananiangusha sana! sijui tumechoka au tumelewa sifa!

Video ya lowassa tu ambayo hata sio genuine magamba wakaruka nayo, hili la libya chadema tunaendelea kupiga poyoyo tu! Kama vile tunashindwa kuendana na kasi ya mabadiliko!

Hiyo timu ishakufa...
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Bao la mkono! Computer kwa kila mwalimu! Yote yamekanushwa na mazimwi! Na yote hayo wamesema na jamii ikawasikia, halafu unasema upuuzi haukanushwi? Lazima ufahamu hadhira yenyewe ipoje!

Msemaji wa chama tawala anasema goli la mkono sisi tupo kimya tu! Mgombea urais wao analeta mambo ya libya sisi tupo kimya tu! Aisee inataka moyo sana hii!

Katika siasa kila linalotamkwa lina nia na kusudio lake,ni hekima kwa mlengwa kufahamu haswa lengo la msemaji lilikuwa ni ni lipi?Unaweza ukalishughulikia kimya kimya ama ukalipuuza ama ukatafakari muda wa kulijibu utakao kuwa hauna madhara. Hakika nakuambia jambo lolote utakalolikanusha ama kulizungumza katika media linazua jambo jingine.Ni mara kadhaa umeshasikia mtu anakanusha jambo hadharani halafu linamrudia yeye!!Bila shaka umeona la Dr.Mihogo,ni kama amejipaka ----- wakati alidhani angefanikiwa kusambaratisha UKAWA.Ukilazimisha nitajua wewe si mmoja wetu katika mabadiliko!!
 
Kwa hiyo unashauri nn Mpenda mabadiliko mwenzangu
 
Back
Top Bottom