Wewe PCM automatically engineer though sio lazima.. Kaachini, fikiri kitu gani unakipenda na Unakiweza ukisoma utakeenjoy.. Then piga Shule.. Usiwaze ajira saivi, ajira weka kama second option, waweza kuja pata Ideas nzuri baada ya kufika chuo ushangaa unaanzisha project zako na kuwa...
Thread kama hizi ndio za great thinkers na sio zile za udaku wa kisiasa.. Keep moving brother.. Google a lot kupanua knowledge yako na kupata ideas za kufanikisha projects..
I thnk kuna kitu nje ya siasa kinatake advantage so if the gov is serious!! Interpool should act accordingly on ths or else tutabaki na mawzo ya U CCM na CHadeMA kumbe kuna zaidi ya hapoo
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
LICUD ww ndio umetafsiri hivyo na ndio utakua chanzo cha uchochez!! Ametumia jina ki kawaida kabisa sababu wapo watu wenye majina kama YAHAYA, Emmanuel, Elia ambayo yana maana kubwa sana but wanatabia ambazo huwez amini.. So ichukulie kama ni Yahaya au Amos flan wa sinza ivi au pale kwa mtogole...
Kaka Dawa zipo, usione aibu nenda kwa Daktari mpe fact in a week unakua sawa, Mpenz usimfiche danganya hata Allerge kama ukisema kweli ushaloose faith
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Hakuna kazi nzuri wala mbaya..tunategemeana..mm ninaechomwa najua kusell na kumarket juani nawezesha kampuni, aliye ofisi nae anapokea report zangu na tathmini na mwendelezo kwa wengine mpunga uimarishe kampuni maisha yaende
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
huwa wengi tunataka tuanze na dream job..jaman anza na kaz yoyote ht ktk compny za usafi.. then humo ndani unapata channel na info sasa..ukiwa nje kupata taarifa ishu ndugu..mifano watu waloanza chini ipo..msichoke kutafuta..
pia pitia.. Paid to Click Advertising at ClixSense
zinahtaji uvumilimu sio ya labda mwezi udhan utapata labda million..wanakua na task nyingi bt una earn kidogo kidogo mpka kama 6months ivi ndio utaanza ona matunda depend na how hard and fast u click daily
Fika JKT makao yao makuu wataheshimu confidence yako ya kuwafwata. usishangae wakakupost direct kambini kwa ujasiri wako..wanahitaji maplanner kama nyie .mipango ipo popote..MUNGU ataibariki nia yako
COMMUNICATION SKILLZ, moja ya masomo wanavyuo wengi wanayadharau, pia hatutumii internet ipasavyo ..good example, nilikua resign mahali nikawa sina uzoefu wa kudraft resignation letter, nikaingia google. Nilipata sample nyingi na zipo professional..GUYS Kama haujui kitu nenda GOOGLE ina majibu yote
vijana hawasomi vitabu , vinasaidia kukupa ujuzi wa ziada katika maswala mbalimbali hasa jinsi ya kukabiliana na matatizo mbali mbali..
DADA kwa sasa ahirisha mwaka kaa na mama chini sababu nae kwa sasa bado ana msongo wa mawazo..Anza tafuta shughuli ktk makampuni ya simu huduma kwa wateja...
chunguza mtaani kwako km hauna magenge yazidiyo matatu, fungua genge uswaz litarudsha mtaj na utaweza hata fungua VIDEO SHOW..
kingne km unaushujaa wa kupoin vinguo flan vya wadada vikali afu watoke ktk vyuo na hostel zao..inatoka km ujuavyo wadada ..muhim chungza kip wanavaa sana sku izi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.