Search results

  1. M

    Ajira zetu na utandawazi

    Mwaka mmoja uliopita tuiliuzwa (outsourced) toka mtandao unaoongoza Tanzania, na tukaambiwa ajira zetu ziko salama kwa mwaka mmoja. Mwaka na miezi sita baadae hii kampuni tuliyopo yenye makao yake makuu ufini imetutangazia leo kuwa kutokana na kujiendesha kwa hasara wanalazimika kuviua baadhi ya...
  2. M

    Mgogoro wa matumizi ya maji mto Nile wachukua sura mpya

    Watabiri wanasema vita kuu ya tatu ya Dunia itakuwa ya kugombania maji! Sasa kwa nyie ambao mnasema bora tukae bila maji, hamjayakosa! Ukiyakosa hautasema hayo. Maji ni uhai, kuna haja gani ya kufa kwa kiu, bora uyanywe halafu kama ni vita tutajua baadae, vita ni vita mura na haina mwenyewe!
  3. M

    Naumwa nisaidieni

    Siku chache zilizopita, nilisoma article ihusuyo mambo ya afya na kulikuwa na habari ya dada mmoja kutokewa na hali kama hiyo wakiwa kwenye shughuli ya kifamilia, basi watu wote wakamliwaza na kumpatia maneno ya faraja, kwa kuwa hawakufahamu ni nini kinaendelea basi hat hospitali hawakwenda...
  4. M

    Tukumbushane enzi hizo... za sekondari

    Ngoswe Shida Penzi kitovu cha Uzembe Waandishi siwakumbuki!
  5. M

    Kanda ya Ziwa na PhD Feki

    Hawa wote si wasukuma, labda kama kutoka kanda ya ziwa inatosha kukufanya uwe msukuma regardles ni kule kwa wauaji au nshomire.
  6. M

    Amezaa na mke wa mtu watoto watatu!

    Nimeona mitazamo tofauti mingine mizuri, mingine 50/50 na mingine inasikitisha. Kuna ambao wamekasirishwa sana na kitendo cha huyu kijana kiasi cha kushindwa kufikiri logically! Kabla ya kumshushia kila aina ya maneno kijana huyu, je ni kweli nyie sio wazinzi? Je ni kweli kati yenu...
  7. M

    Mmarekani adai kufanyiwa ufisadi

    Whether its cooked or raw, this document touched me personally on this, and I quote "They don’t even fucken know that we are trying to help them" end of quote, hapa amemshika nyani ******! and what do you expect ni makofi tu, regardless ni mzungu au nani anayejaribu kufikisha ujumbe kwa staili...
  8. M

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Tuna hawa ambao tunajua kabisa walikwepa umande, ila kuna wale wenye digrii za kununua, za chupi n.k maana siku hizi tunasoma na kutaka kuwa na madigirii mengi bila kujua yatatusaidiaje! Tunasoma kwa kuwa fulani kasoma, sasa kwa wale ambao shule inawanyanyasa ndio inabidi kutumia mbinu yoyoyte...
  9. M

    Thabeet na henry joseph ni soma

    Mwanzilishi wa hii mada ni mjumbe tusimhukumu! Mimi pia kuna article kadhaa nimesoma kuhusu mshahara wa Hasheem kuwa US$1.2m which amounts to about US$14m per annum (katika madafu ndio approx. 19Bil). Sasa, kwa bahati mbaya, sikumbuki ile source, ila ni website yenye kuonyesha mishahara ya...
  10. M

    CHADEMA imekosa Dira?

    CCM has failed most of us Tanzanians (Tanganyikans), we need an alternative to give the wake up call. As I sat back relaxed and watched how the game goes, Chadema looked, and still does look likely to give CCM that call. For me, I am a neutral, I dont belong any of these factions, but I love my...
  11. M

    Amatus Liyumba: Balaa!

    2009-03-01 10:55:41 By Staff Writer He spent his life serving the Central Bank of Tanzania, building up strong connections within the corridors of power during the last five years of the third phase regime. He rose and conquered Dar es Salaam, with his quickly generated wealth feeding...
  12. M

    Msaada unahitajika

    Kaka pole kwa matatizo hayo uliyo nayo. Shangazi yangu amewahi kuwa na tatizo linaloelekea kufanana na lako ambalo lilipelekea kuwa hawezi kutemebea tena na kuishi katika hali ya maumivu sana. Hii hali baadae ilikuja kuonekana ilitokana na mkandamizo wa nerves katika uti wa mgongo maeneo ya...
  13. M

    CPJ Condemns the arrest of JF members!

    Big up Maxence and Mike, this is a revolution,and doesn't come easily! Nafurahi kuona vijana wa rika hilo la kwenu wanasaidia jamii kuhabarika na habari nyeti kama hizi, si wengi wa umri wenu huo wanaguswa na mambo nyeti kama vile ya jinsi ambavyo serikali yetu inaendeshwa na pale inapovurunda...
  14. M

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Sioni tatizo kwa watoto wa wakubwa kupata ajira, lakini ni wa ngapi ambao umesikia wako wanafanya kazi namanyele! Karibu walio wengi wanafanya kazi kati maofisi ambayo yanaonekana kama ndio bora ki malipo, ulaji na mazingira ya kazi. Is it a coincidence? Wanapita kwenye chekecheke tunalopitia...
Back
Top Bottom