Search results

  1. Z

    Laptop inajitajika

    Nahijataji laptop yenye specification hizi Hard disc 300+ Ram 4gb Processor Dual au core i3 BAJETI NI 400,000 tsh ni pm
  2. Z

    Mvua imenikoseshea Demu..

    Najua siku kama hii waliowengi watapendezewa sana na hii hali ila kwangu ni maumivu.. Jana tulipanga kuonana kweli akaja...kumbe akapitia sokoni akafungasha nyanya,vitu vitu kibao kufika et ooh si unaona niliagiziwa mboga za jion kwahyo nawahi kupeleka...ntakuja kesho.. nikasema sawa mama...
  3. Z

    samsung galaxy s3 , Inauzwa

    simu ipo katika hali nzuri kabisa kila kitu utapewa kama charger na hearphone. bei ni laki 2 ni pm ama piga 0717 260 605
  4. Z

    Anaezijua ofisi za precision air kwa Dar zilipo, msaada tafadhari

    Kuna mzigo nataka niutume kwenda Mwanza,sasa ofisi za precision sizijui zilipo naomba anaejua anisaidie tafadhari. UPDATE: Ahsante nyote mliochangia hapa na kunielekeza vizuri....kwan nimeweza kufika vizuri kabsa bila was was na hofu ya kupotea
  5. Z

    Natafuta rafiki wa kike wa kuanza nae mahusiano 2014

    Nahitaji mwanamke yeyote alie serious kuanza nae mahusiano...kama uko single na unasoma hii post usisite kuni pm au niandikie hapa mimi_kwanza@yahoo.com
  6. Z

    My dream come true!

    my dream is to be thinker or philosopher wa mambo mbalmbal visible and invisible issues,nadhani my journey inaanzia hapa Jf the home of cognitive thinkers,Naomba mnipokee!
Back
Top Bottom