samsung galaxy s3 , Inauzwa

samsung galaxy s3 , Inauzwa

Zero7

Member
Joined
May 27, 2012
Posts
36
Reaction score
1
simu ipo katika hali nzuri
kabisa kila kitu utapewa kama charger na hearphone.
bei ni laki 2
ni pm ama piga
0717 260 605
 
Natafuta screen kwa ajili ya SIII yangu, dukani wameniambia ni kilo mbili gwede, bora ninunue yako na kupata kabisa hiyo HEARPHONE.
 
Natafuta screen kwa ajili ya SIII yangu, dukani wameniambia ni kilo mbili gwede, bora ninunue yako na kupata kabisa hiyo HEARPHONE.

mkuu vioo vinapatikana..
hii ni s3 mini.
.iko poa
 
ebu funguka mkuu, ina tatizo gani? Nimeshakutana na wa2 wawili ambao 2mefanya negotiations humu ndan kwa bahat mbaya wakakutana na mm ambae najua clone,cm yenye tatizo,ha2kufika mwafaka ila mara ya 1 walisema ziko poa.So kama iko poa leta ktk 0656000058
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom