Search results

  1. Mkawo

    As vita + Tp Mazembe + Yanga

    Burian Dr congo pole Mwinyi Zahera
  2. Mkawo

    Wadau wa mchezo wa drafti tukutane hapa!

    Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu, nafurahishwa sana na maneno ya kejeri hasa wakutanapo manguli wa mchezo huu. Rai yangu kwenu...
  3. Mkawo

    Msaada anayejua vizuri kuhusu biashara za Beting

    Wakuu polen na mihangaiko ya hapa na pale naomba kujua juu ya biashara ya kubet. Gharama ya kununua mashine na commision yake ikoje ni hayo tu!
  4. Mkawo

    Kipindi cha 5 Gear clouds Tv kimebadilishwa muda na siku?

    Jamani vipi hiki kipind mara nyingi huwa nakitazama Jumatatu saa 21:30 usiku lakini ni wiki ya pili sasa sioni kikirushwa vipi kimebadilishwa muda na siku? Maana ni kipind pekee kinachonifanya niwashe Tv wiki nzima!
  5. Mkawo

    Mchango wako ndg "Reseach tittle"

    Mchango wako ndg, napata shida kidogo juu ya chaguzi sahihi ya reseach tittle ambayo itanipa mwanga ama uwanja mpana wa kufunguka naomba kushare na wewe, kifup nafanya field TRA nahitaj reseach tittle itakayo uwiana na mambo ya finance na accounts. Asante kwa ushirikiano!
  6. Mkawo

    Kemikali gani inatumika kulihifadhi tunda la apple?

    Ni kitu ama chemical gani inayotumika kulihifadhi apple mpaka linakaa kwa muda mrefu bila kuharibika na kama ni chemical nini madhara yake kiafya?
Back
Top Bottom