Msaada anayejua vizuri kuhusu biashara za Beting

Mkawo

Member
May 26, 2012
61
60
Wakuu polen na mihangaiko ya hapa na pale naomba kujua juu ya biashara ya kubet. Gharama ya kununua mashine na commision yake ikoje ni hayo tu!
 
Kuna jukwaa humu la ku bet nadhan itakusaidia limeandikwa "wazee wa ku bet"
 
Back
Top Bottom