Search results

  1. Zambavuni

    Upinzani acha kutuwekea usiku

    Kivuli kitakuwepo pale watakapo mfanya JPM aanze mizunguko ya kampeni bila sababu wakati ushindi ni wa wazi. Na si wawazi tu bali kazi aliyo ifanya JPM kwa kipindi cha miaka mitano na dalili za kuendelea kufanya vizuri zipo. Huyu Jamaa hana rafiki mzembe na mla rushwa. Hawezi kutuangusha. Kwenye...
  2. Zambavuni

    Upinzani acha kutuwekea usiku

    "Fomu zetu {za kugombea Uraisi) tutachukulia hapa, ila mnaweza mkaamua msichukue mseme Magufuli amepita ili fedha hizo zifanyie kazi nyingine."-Rais Dkt. @MaguguliJP akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa kwenye uzinduzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Hayo ndiyo maono yangu...
  3. Zambavuni

    Upinzani acha kutuwekea usiku

    Kubali au usikubali, ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais haina mjadala. JPM atashinda kwa kishindo. Busara zingetumika kwa wapinzani wasome alama za nyakati na wakae pembeni ili JPM apite bila kupingwa na fedha za kampeni afanyie vitu vya maana kwa maendeleo ya nchi. Msionyeshe uwepo wenu...
  4. Zambavuni

    TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

    Somo la kujifukiza ni muhimu sana. Wengi wanajifukiza dawa zikiwa motoni zinachemka. Hii yaweza sababisha kuathirika kwa mapafu. Bado tutasikia vifo vikitokea kwenye fukizo kutokana na hewa ya ukaa. Elimu ya dhati itolewe.
  5. Zambavuni

    RC Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira atangaza kuambukizwa Virusi vya Corona - COVID-19

    Kama urafiki na cuba bado upo, JPM asichelewe kuomba msaada wa wataalamu ni vifaa vya kupimia. Hali ni mbaya. Pia ile dawa ya Senegal iagizwe mapema.
  6. Zambavuni

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Kanuni ni kumpatia kadi mtu yule ambaye unajua naye akikuletea kadi utamchngia. Yaani rafiki wako wa karibu. Si urafiki wa muda kwa sababu ya kutafuta mchango.
  7. Zambavuni

    Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

    Kwa hali ilivyo sasa, ngoja kwanza waelewane maana ni ngumu kufanya kazi na watu wanounda hilo bunge na wakati umeliita Bunge dhaifu. Hapa neno "Pingu" ndilo lilichafua hali ya hewa zaidi.
  8. Zambavuni

    Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

    Inatakiwa tuwe makini kabla ya kutoa maoni, tujirizishe kuwa hakuna sheria tunayovunja. Haya mambo ya kuongea tu bila umakini yaweza sumbua kichwa sana!
  9. Zambavuni

    Faida ya manjano kwenye urembo

    Ni mkoa gani hasa ni wazalishaji wa Bizari/manjano?
  10. Zambavuni

    Bunge la bujeti linaisha lini?

    Salaam wana JF. Tafadhali sana anayejua bunge la bajeti linaisha lini. Na likiisha PAC huwa wanabaki dodoma kwa muda au wanarudi majimboni kwao moja kwa moja.
  11. Zambavuni

    Ni kipi chanzo na tiba ya misuli ya jicho kutikisika?

    Fanya Mazoezi. Hizo ni dalili za mafuta mengi mwilini.
  12. Zambavuni

    Muda muafaka wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua kwa opareshini.

    Salaam kwa wana JF. Hivi mwanamke akijifungua kwa operasheni anatakiwa aanze kukutana na mwenza baada ya muda gani ( yaani kufanya tendo la ndoa) bila kupata matatizo?
  13. Zambavuni

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Wanakuwa waumini wa kutumainiwa kikweli, lakini kumbuka na shetani siku zote yupo kazini na anawawinda kikwelikweli waumini wa kutumainiwa maana hao ndio maadui zake wakubwa. Na akiwapata anafurahi sana. Sisi binadamu tunajisahau sana na kumuachia shetani atutawale. Fikiria umekuja dar kikazi na...
  14. Zambavuni

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Ulitaka ufanye mapenzi na changu au ulitaka umalize nyege zako tu? Siku nyingine jojoa tu uende zako achana na mbwebwe na machangu.
  15. Zambavuni

    Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

    Nakubaliana na TOWASHI. Ila wewe mdada sisi wanaume tukikutana na nyie mara zote au nyingi kama si ndugu wa karibu huwa ni kuwa-do tu. Hivyo jitahidi kutojisogeza sogeza kwa madume. Kitendo cha kukubembeleza unywe wine ilikuwa inamaana ya jiandaae ni ku-do. Pole sana kwa yaliyokupata na liwe...
  16. Zambavuni

    Madhara gani yaweza kumpata mwanaume kwa kutofanya tendo la ndoa?

    Hakuna uwezekano wa kuziba mifereji? au matatizo ya prostate? Hasa kama matatizo yataanza mapema kwenye miezi 2-3 hivi?
  17. Zambavuni

    Madhara gani yaweza kumpata mwanaume kwa kutofanya tendo la ndoa?

    JF Doctors Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati mwanamke amepata ujauzito na mara complication zinaanza na anapewa bedrest na kushauriwa asishiriki na...
  18. Zambavuni

    Nini kinasababisha wanawake kutokwa na utando mweupe wakati wa kufanya ngono?

    Hali hiyo ni ya kawaida kwa wanawake wote. Unajua uke unajisafisha naturally through menstral period. Ukiwa umekutana na mpenzi wako mara tu baada ya kuacha ku-bleed, utakuta utando huo haupo maana damu hiyo inatoa uchafu wote ikiwa ni pamoja layer iliyojitengeneza kwenye uke wake, yai lake...
Back
Top Bottom