Zambavuni
Senior Member
- May 24, 2012
- 118
- 26
JF Doctors
Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati mwanamke amepata ujauzito na mara complication zinaanza na anapewa bedrest na kushauriwa asishiriki na mume wake tendo la ndoa mpaka atakapojifungua.
Je, kuna madhara yoyote ambayo mwanaume aweza kupata na ni jinsi gani ya kuyakwepa?