Search results

  1. J

    Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Sijakuelewa mkuu
  2. J

    Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Mchumba wangu haitwi Saada mkuu, hilo ni jina huyo binti ndotoni.
  3. J

    Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  4. J

    Naomba msaada pgm iii-13

    petroleum eng iko UDOM apply UTAPATA, Mining eng UDSM ina competation kubwa but am sure UDOM apply UTAPATA na Geology UDSM na UDOM pote apply UTAPATA, Best wishes dogo moct welcme ulimwengu mpya wa ELIMU YA JUU.
  5. J

    Msaada wakujua ugumu wakusoma electronics+telecom eng

    ni faculty ya kawaida ila GPA yako integemena na juhudi zako na uelewa class then uwe mtafiti/ mdadisi na ujaribu kufanya hii ndo mbinu pekee ya kuperform vizur hii faculty coz imebez kwenye TECHNOLOGY ZAIDI........... wor out utaiweza 2.
  6. J

    Girlfriend wangu kapata division zero

    pole sana, huyo ni girl frnd wako 2 na sio mkeo xo waachie majumu hayo wazazi wake au sio wana JF?
  7. J

    Naomba msaada pgm iii-13

    HONGERA SANA! PGM kwa div 3 uko juu dont wor abt chemistry o level ww apply any engineering except Tellecom,electrical,chemical processing,mineral processing....... wewe unapendelea faculty gan? post nikushauri.....
  8. J

    ushauri matokeo yangu mabaya( div zero)

    NI KWELI MTUPU INABIDI TUKUWEKE WAZI ILI 2SILAUMIANE HAPO BAADAE ( tafuta michakato mingine itakusaidia kujikwamua kimaisha kwani maisha mazuri ni juhudi za mtu binafsi na sio lazima upitie maxul, mauniversities dont gv up ihop utawin) thanks!!!!!!
  9. J

    St Augustine University of Tanzania is the best private university!?

    mmmmmhhhh! wasomi vyuoni mnanishangaza sana, kazini/ maofisin hatuangalii ni chuo kip,kina muda gan,kinatoa elimu gan ila WEWE BINAFSI UNAJUA NN NA ULICHOKISOMEA UNAKIWEZA...... kwa staili hii cjui kama 2tafika!
  10. J

    Ni ujinga,ulimbukeni na ushamba kusifia chuo unachosoma na kuviponda vingine!

    am sor hii topic ngumu siwez kuchangia xo NAPITA 2......
  11. J

    wanafunziwa kike udsm....wahusiswa na ukahaba na uchangudoa na kujiuza baa

    kufanya NGONO ni hulka ya m2 wala wasisingizie mkopo ila wanaharibu sifa ya chuo kwa tamaa zao za kimwili najua sio wasichana wote xo inabidi hao wachache wajiheshim kufika chuo kama ndio umeelimika ila jinsi unavyoi2mia elimu yako jamii ndo inaona umeelimika au la, 2sijisahau 2mwogope MUNGU na...
  12. J

    Msaada plz

    mbona rahisi sana, fungua fb tembelea wall ya huyo mjafanja user mwenye jina kama lako utaona sehem imeandikwa REPORT THIS USER check option zake na ufate steps utablock ww, au fungua fb find e mail aliyo2mia jamaa ksign up fb then ikope pemben halaf kama hujui vile na ww sign up fb by using the...
  13. J

    ku-format mashine

    processor inachoka 2 fast na kusababisha connecton wire kati yake na hard disc kuwa inagain heat kwa haraka xo hard disc inaweza kupungua byte zake, itakua slow sana na kibaya zaidi wakat unaiwasha inaunguluma sana na it takes long time 2 display bcz processor imechoka, sio vizuri kuformat...
  14. J

    Je kuna program ya kufanya ili?

    naona lengo lako ni kuformat window but all ur files uzipate after installation ur new window, make partion of hard disc then all files put into disc C, then ukianza kuformat ignore hard disc C. After that install ur window u need finally all files zitabaki kwenye hard disc C safe.
Back
Top Bottom