Search results

  1. JULIUS MKANYIA

    Kila nikifuta messages zinarudi tena

    Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa JF. Simu yangu ni tecno p3, sasa kila nikizifuta messages baada ya muda huwa zinarudi zote kana kwamba zijazifuta, na nimefanya hivi zaidi ya mara 10. Tafadhali sana wakuu na wataalam naomba mnisaidie. Natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wenu.
  2. JULIUS MKANYIA

    Naomba msaada wenu wakuu na wataalam wa simu

    Naomba msaada wenu Wakuu na Wataalam wa Simu za mkononi. Camera ya nyuma ya simu yangu Tecno P3 haifanyi kazi (haionyeshi hata kidogo) isipokuwa camera ya mbele tu ndio inayofanya kazi. Naomba mnisaidie Wakuu na Wataalam. Natanguliza Shukrani Za Dhati Kwa Msaada Wenu. Ahsante sana!
  3. JULIUS MKANYIA

    Nataka kujifunza mobile phone repair & maintenance.

    Ndio wakuu! Lengo langu na dhamira yangu ni kutaka kujifunza mobile phone repair & maintenance (software & hardware). Sasa wakuu ni wapi ambako naweza kupata mafunzo haya? Ahsante sana!
  4. JULIUS MKANYIA

    Nahitaji line ya tigo-pesa.

    Nahitaji line ya TIGO-PESA. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye line ya TIGO-PESA naomba awasiliane na mimi kupitia PM (PRIVATE MESSAGE), na kama itapatikana nahitaji kufahamu bei yake.
  5. JULIUS MKANYIA

    Marufuku kuokota embe hapa!!

    Mtoto mmoja alikuwa akiokota embe kwenye shamba la miembe la Mzee-Kijana. Mara yule Mzee-Kijana naye ghafla akaja kuliangalia shamba lake na kumkuta yule Mtoto akiokota embe kwenye shamba lake. Mzee-Kijana akamwambia yule Mtoto; leo iwe mwanzo na mwisho wa kuokota embe kwenye shamba langu. Yule...
  6. JULIUS MKANYIA

    Jamani lugha gongana

    Jamaa mmoja alipelekwa Mahakamani na ndugu zake kwa ajili ya "KULA KIAPO". Sasa muda wa "KULA KIAPO" ukawa unakaribia na yule akawa haonekani na ndugu zake wakaanza kumtafuta, na baadae kidogo akatokea. Ndugu zake wakaanza kumuuliza; mbona muda wa "KULA KIAPO" umeshapita, ulikuwa wapi? Akajibu...
  7. JULIUS MKANYIA

    Vituko vya mmasai guest house

    Mmasai mmoja alikodi chumba Guest House, na mara tu alipoingia kwenye chumba alichokodi ili alale, akakuta kitanda kimeshachomekwa chandarua. Kesho yake asubuhi Mhudumu akaja na kuingia chumbani kwa Mmasai akamkuta amelala chini, ikabidi amuulize Mmasai mbona umelala chini? Mmasai akajibu...
  8. JULIUS MKANYIA

    Atakayenifundisha Adobe Photoshop

    Nahitaji mtu yeyote anayeifahamu vizuri sana Adobe Photoshop na Adobe PageMaker ili anifundishe. Kwa mawasiliano zaidi niandikie PM.
  9. JULIUS MKANYIA

    Msaada kuhusu computer.

    Nisaidieni wana jf. Ninapotaka kujua kwamba computer zilizo kwenye viwango vinavyotakiwa vya kimataifa, na zile ambazo hazina kabisa viwango vinavyotakiwa vya kimataifa, je ninafanyaje?
  10. JULIUS MKANYIA

    Bagia zinapikwaje?

    Naomba msaada Wana JF wa kufahamu jinsi zinavyotengenezwa BAGIA za Dengu na Kunde.
  11. JULIUS MKANYIA

    Skype, eBay na Amazon

    Jamani naomba kuuliza; kwa sababu kuuliza si ujinga, na kila aulizae ataka kujua. Kuna hii MITANDAO mitatu; Skype, eBay na Amazon; Je kila mmoja kati ya hii MITANDAO mitatu unajishughulisha na mambo gani? Ahsanteni sana!
  12. JULIUS MKANYIA

    Wataalam wa simu.

    Naomba msaada wenu. Mimi simu yangu ni NOKIA 6151, na tatizo ni kwamba "Switch" yake ya kuwashia iliharibiwa na kutofanyakazi kabisa. Sasa Wataalam na Mafundi mliobobea katika maswala ya simu, Je naweza kupata "Switch" nyingine ili simu yangu iendelee kufanya kazi? Natanguliza shukrani zangu za...
  13. JULIUS MKANYIA

    Msaada wa trial software.

    Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa "Limitation Files" kwenye "Trial Software".
  14. JULIUS MKANYIA

    Tatizo la simu yangu.

    Simu yangu ni nokia 6151, na tatizo lake kubwa ni kwamba "switch" yake ya kuwashia imeharibika. Sasa ni kwa jinsi gani naweza kulitatua tatizo hili? Je, ninunue "housing" nyingine mpya ili kuipata "switch" yake ya kuwashia au "switch" yake yaweza kupatikana bila kununua "housing" nyingine mpya...
  15. JULIUS MKANYIA

    Hili ndilo jina langu halisi.

    Napenda kuwafahamisha wana jf kwamba "julius mkanyia" ndilo jina langu halisi kabisa nililopewa na wazazi wangu baada ya kuzaliwa.
  16. JULIUS MKANYIA

    Naomba kuuliza wana jf

    Ni mambo gani muhimu hasa yanayojadiliwa ndani ya ukumbi wa jf? Nisaidieni.
  17. JULIUS MKANYIA

    Hodi jf mimi ni mgeni

    Habari zenu wana JF. Mimi ni sawa na mtoto mchanga kabisa katika JF, sijui chochote kile hivyo naomba ushirikiano wenu wa kunielekeza mambo mbalimbali nisiyoyafahamu kabisa pale nitakapokuwa nahitaji msaada kutoka kwenu wana JF ili na mimi niweze kuifurahia JF kwa sababu naipenda sana.
Back
Top Bottom