Search results

  1. Fredrick Ishengoma

    Samsung yaleta simu inayofukuza mbu!

    Mosquito Repellant ni Android application (inayotoa utrasonic sound zenye very high pich kiasi ya kufukuza mosquito). Sidani kama hii program ina uhusiano wowote na Samsung Company (hata kama imekuja pre-installed), sababu haijatengenezwa na Samsung na simu yoyote unawezaitumia nayo kwa...
  2. Fredrick Ishengoma

    "iNAITWAJE mOVIE hII..?"

    Rjohn, Labda ungeongeza maelezo ingesaidia ku narrow down.Nnazozijua kulingana na maelezo yako kuna: Runaway Train - Hii ni ya mwaka 1985 kacheza Jon Voight Unstoppable - Ya 2010 kacheza Denzel Washington Money Train - Hii kacheza Wesley Snipes, ni ya mwaka 1995 Cassandra Crossing - Hii ni ya...
  3. Fredrick Ishengoma

    Only A JF Genius Can Count This....

    There actually aren't any black dots at all
  4. Fredrick Ishengoma

    Wewe maliza nitakula taratibu

    Nimeikubali hii MziziMkavu, paka naona hana presha anamsubiri ahahah, hii picha ina ujumbe mzito
  5. Fredrick Ishengoma

    Scan this and see what happens!!!!!

    Inabidi uwe na smartphone, pamoja na app ya kuscan barcodes, then ukiifungua hiyo app ukiscan QR_CODE ya Mzee Mwanakijiji hapo, unapata message ifuatayo: rockcitym@gmail.com Agiza Nakala yako sasa Agiza nakala ya kutabu cha "Majeruhi wa Mapenzi" Riwaya ya M.M. Mwanakijiji. Mitaani kitauzwa kwa...
  6. Fredrick Ishengoma

    Kisia hap ni Wapi Dares-Salaam?

    Usafi wa chakula unaanzia kwenye usafi wa mpishi. Kwa hapo, mmmh!
  7. Fredrick Ishengoma

    Photographers' Corner

    Picha hii nimeipiga kwa kutumia Nikon D7000 Settings zilikuwa: 1/60 sec at f/5.6, ISO 100 Tamron Lens 200mm (28.0 - 200.0mm f/3.8 - 5.6) Baada ya hapo nikaiongeza logo ya Patek Philippe na signature yangu. More photos @ Ishe Photography
  8. Fredrick Ishengoma

    Dala dala ...............za kibongo............

    Inasemekana category ya watu wanaoongoza kusema ukweli ni pamoja na watoto na walevi, hehehe....:A S shade:
  9. Fredrick Ishengoma

    Mwigulu Nchemba na kitambaa cha bendera ya Taifa.

    Msikilize hapa anajibu hili swali mwenyewe
  10. Fredrick Ishengoma

    ......Nipe jina la huo mtutu.....

    Hii inaitwa M2 Machine Gun, ilitumika sana vita ya pili ya dunia, vita ya korea na vita ya vietnam.
  11. Fredrick Ishengoma

    Je Una Picha? Tutumie

    Infinity Labs
  12. Fredrick Ishengoma

    Hello! Kwanini nimejiunga jf na nia ya kuleta mabadiliko humu jamvini

    lara 1, karibu JF. Nakumbuka nilichangia thread ya Marketer kuhusu hili. Naomba nikwambie ogopa mtu anayekusifia hata unapoharibu, huyo hakutakii mema. Ukitaka maendeleo siku zote ni muhimu kuaccept white and black kama zilivyo, hiyo inakupa challenge ya kurekebisha na kuendelea mbele. Inabidi...
  13. Fredrick Ishengoma

    NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!

    Be specific, otherwise hii itakuwa considered kama propaganda tu.
  14. Fredrick Ishengoma

    Naombeni msaada wataalam wa kudowload vitabu kwenye internet

    Jaribu hizi site, waweza kudownload vitabu for free Free eBooks Download - ebook3000.com Project Gutenberg - free ebooks Free Computer, Programming, Mathematics, Technical Books, Lecture Notes and Tutorials Free Online Computer Science and Programming Books, Textbooks, and Lecture Notes ...
  15. Fredrick Ishengoma

    Namuanzaje mamamkwe-mrejesho

    SnowBall, inabidi ufanye maamuzi yenye busara na ambayo hayatakuja kukuletea tabu huko mbeleni. Huyo mchumba wako, kabla hujamuoa inabidi ujiridhishe na uaminifu wake kwenye mambo yanayohusiana na pesa. Hiyo scenario yako imerise some "red flags" ambazo unawezakuwa hukuwahi kuziona kwenye...
  16. Fredrick Ishengoma

    Nahisi naibiwa....................!

    Ahahahaha, I love the title Mtambuzi, inamwacha msomaji amalizie mwenyewe kwa jinsi mind yake ilivyo, kabla hajafungua kujua anaibiwa nini...:biggrin:
  17. Fredrick Ishengoma

    Qn: Can Viruses infect data burned into CD?

    Virus can infects CD or DVD only when we are going to write some information into that CD or DVD. Virus can not infect CD or DVD when we are going to read the information in that. That being said, depending on the virus, if the virus was also burned in the CD, it is possible that it may be...
  18. Fredrick Ishengoma

    habari zenyu binafsi jamani

    Baba Kimoko, ni kweli u mgeni. Vipi kuhusu Avatar ya kike na wewe ni Baba Kimoko? BTW, thread yako si ya kisiasa. Inaonekana kuhusika zaidi kwenye jukwaa la utambulisho au chit-chat.
  19. Fredrick Ishengoma

    Blog mpya nzuri sana sana ya mambo ya harusi kwa wadada imefunguliwa

    Naipa 4/10 Kwanini? 1. Ukiifungua hiyo blog, haina utangulizi wowote kuonyesha kuwa blog inahusika na nini hasa. 2. Picha zilizotumika zina very low resolution. 3. Sijaona original content ukiachilia texts, picha zote zinaonekana ni copied from other websites na baadhi ya picha zina copyright...
  20. Fredrick Ishengoma

    :: Top 10 worst computer viruses ever made

    1. The Morris worm In 1998 Robert Morris, a university student, unleashed a worm which affected 10 per cent of all the computers connected to the internet (at the time the net was estimated to consist of 60,000 computers), slowing them down to a halt. Morris is now an associate...
Back
Top Bottom