Search results

  1. Mwalupale

    Mahojiano ya afisa wa TRA na mfanyabiashara

    Hahahaha nasubiri part 2
  2. Mwalupale

    Kwa maisha ya sasa kipi bora kufunga ndoa au kuchukuana na kuishi pamoja

    Vyote ni sawa. Inategemeana na mtu na hali yako kiuchumi kwasasa
  3. Mwalupale

    Tupia clip yako ku show love!

    Huu uzi hautapata wateja. #Nawaza tu
  4. Mwalupale

    RPC Dodoma kadhalilisha Jeshi la Polisi

    Ona sasa nawewe unavyochemka. Eti "your too low". Hahahahaha. Mkuu tumia kiswahili tu utaumbuka hapa kuna wasomi wanakuangalia tu
  5. Mwalupale

    Ni mtumishi gani wa umma anayetoa SIRI za Serikali kwa watu nje!

    Aache kuwasumbua na uhakiki na siri hazitatoka tena hahahaha
  6. Mwalupale

    Casual Sex

    Enhee! Hebu dadavua kidogo basiii
  7. Mwalupale

    Je, inawezekana kupata GPA 5.0 chuo?

    Mijitu iliyofeli na kupata gpa ndogo inatoa motivation speech tu hahahahaha. Acheni kuwadanganya watoto wasisome. Mimi nilipata first class degree na wala haikuwa kazi ngumu. Ukiwa genius hiyo gpa wala sio kazi ngumu kabisa
  8. Mwalupale

    Joseph Yona: 06/01/2014 nilitekwa na CHADEMA kwa maagizo ya Mbowe na Mnyika

    Eti ulikuwa umeajiriwa DUCE khah! Basi hao duce wana haki ya kukufukuza kazi. Wewe ni zwazwa
  9. Mwalupale

    Mbinu tata: Mfanye mwanamke akufukuzie!!

    Mkuu unaturisha matango pori sio? Pesa ndio kila kitu
  10. Mwalupale

    Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Ila watanzania bwana. Kufungia video ya diamond isipigwe wanagurahia. Ila video zenye maudhui yale yale za wanamziki wa marekani zinapigwa mchana kutwa
  11. Mwalupale

    Vidonge vya kuzuia mimba kwa wanaume

    Hahahaha sitaweza kutumia
  12. Mwalupale

    Diamond mziki umekushinda na video yenyewe haina maadili

    Wimbo gani huo mkuu? Naona umempromote hapa unanifanya niutafute
  13. Mwalupale

    Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Mkuu ukikuta saini yako kwenye nyaraka ambazo haukusaini wewe kwamfano za kuuza nyumba yako au shamba lako utaenda ukatulie na bibi yako muangalie movies tu bila kutia neno lolote?
  14. Mwalupale

    Nguvu za underdog business/project

    Asante sana mkuu nimekuelewa vizuri sana
  15. Mwalupale

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Mkuu alitangaza hilo agizo wakati huo nimejiandikisha kitambulisho cha uraia kitambo tu. Hujataka kuliona hili jambo kwa upana wake.
  16. Mwalupale

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Mkuu umetoa povu jingi bila hata kuelewa comment yangu! Pole sana. Soma tena utanielewa. Nilikuwa namjibu aliyesema niende na kofia ya kijani kuomba passport kwa kumuambia kwanini anachanganya siasa kwenye suala langu
  17. Mwalupale

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Nida wanasuasua sana kwenye mchakato wa vitambulisho vya uraia. Mchakato hauko intergrated enough kuweza kung'amua raia wa kweli na kuwapa vitambulisho right away. Kwanini wanatupiga picha na wanaondoka miezi miwili nila kupatia vitambulisho? Something fishy fishy kinanukia
  18. Mwalupale

    Kimbembe! Kupata passport mpya ya kusafiria

    Kwakweli sijui nani wa kumshauri mkuu wetu. Watanzania tunanyimana fursa wenyewe kwa wenyewe. Nimesikitika sana. Pole mkuu
Back
Top Bottom