Search results

  1. Jangakuu

    Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

    Akishindwa kukusaidia huyu, utanicheki ,lakini mahitaji ,email yako na namba zote mbili za Simu ulizowahi kusajilia hiyo email
  2. Jangakuu

    Business cards na fliers

    Nahitaji brochure. Naomba namba zako.unapatikana wapi?
  3. Jangakuu

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Bagamoyo Kilomo

    Inategemea na matumizi yako
  4. Jangakuu

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Bagamoyo Kilomo

    Kiwanja kinauzwa heka 4, kipo bagamoyo kilomo kilometers sita kutoka barabara kuu ya bBgamoyo, upande wa kilomo shule ya msingi, ukienda Bagamoyo upande wa kushoto, uliza kilomo shule. Bei ni milioni 13. Kwa mawasiliano piga namba 0686 351 253.
  5. Jangakuu

    Nini maana ya Ugaidi na Gaidi

    Maana halisi ya ugaidi . Ugaidi in matukio yanayofanywa na kundi la watu (wanaoitwa magaidi) lengo kubwa ni kutaka mawazo yao yasikilizwe na haki yao ipatikane Kwa lazima ,kutoka Kwa watawala wa nchi yaani serikali iliyo madarakani, baada ya kuona njia ya kisheria na kidplomasia imeshidwa...
  6. Jangakuu

    Toyota spacio inauzwa bei chee!!

    Show room mpya shs ngapi?
  7. Jangakuu

    House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Miezi sita mpaka 8 kama itawezekana
  8. Jangakuu

    House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Basi acha natafuta nyumba kodi 150 . Maeneo haya ya goba 200 hapana kaka
  9. Jangakuu

    House4Rent Nyumba inapangishwa Goba -Dar es salaam

    Kodi shs ngapi kwa mwezi kaka
  10. Jangakuu

    Noah New model na IST zinahitajika

    Namba gani A B C au D ?
  11. Jangakuu

    Haya yanayosemwa kuhusu Hospitali ya Mloganzila ni kweli?

    Suala LA loganzila ,nimelisikia sana mitahani na kwenye daladala. Na Leo nalisoma humu, itskuwa insu ya kweli naomba serikali ifuatilie hili suala
  12. Jangakuu

    Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

    Nilifanya miamala ya 33,000,000. Nikalipwa 420,000. Noma .
  13. Jangakuu

    Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

    Piga simu , huduma Kwa wateja vodacom , utapata jibu sahihi.Utaratibu wa kuuliza humu,utashindwa kupata jibu sahihi
  14. Jangakuu

    Kampuni ya mambo ya engineering inauzwa!

    Ina asset gani, wafanyakazi wangapi, annual gross profit in shs. Ngapi in USD. Projects ngapi ziko mkononi
  15. Jangakuu

    Kampuni ya mambo ya engineering inauzwa!

    Mali zenu in zipi?
  16. Jangakuu

    Nini kimesababisha Msanii Mrisho Mpoto ' Kulamba Matapishi ' yake ghafla na kwenda Kinyume na ' Nadhiri ' aliyoiweka?

    Ninachokumbuka Sikh anahojiwa na clouds360 alisema haikuwa ridhaa take kutembea peku,Marehemu Ruge ndiyo alimwambia afanye hivyo.
  17. Jangakuu

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji flat screen TV inch 21 Nina 150,000 wassap 0787369312
Back
Top Bottom