Search results

  1. kibol

    Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie

    Mzee wangu nakuheshimu sana, na nimekuwa mwanafunzi wako mazuri sana tangu nijiunge hapa jf, yapo ambayo tumekubaliana kimtizamo yapo ambayo tumetofautiana, all in all nakushukuru sana, una maarifa mengi sana kichwani mwako kuhusu historia ya taifa letu, nikuombe uyaweke kwenye maandishi...
  2. kibol

    Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    Bila ccm madhubuti nchi hii itayumba, kidumu chama cha mapinduzi
  3. kibol

    Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    CCM haiibi kura, ccm ina mfumo madhubuti na imara sana kuanzia chini
  4. kibol

    Kwasababu ya umadhubuti na uimara wa misingi yake, Chama kitatawala karne nyingi zijazo

    Ccm itatawala nchi hii kwa miaka mingi sana ijayo
  5. kibol

    Bondia anayeweza kuleta heshima hapa nchini ni Hassan Mwakinyo tu

    Yule na Kiduku sijawahi kuwakubali, wanazipenda ngumu ila ngumi hawazijui, wajaribu shughuli nyingine inatosha, ata yule japhet maganga aliyepigwa na yule dogo wa mbeya, naye hamna kitu ajaribu shughuli nyingine, a boxer must possess fighting skill, sio kumvaa vaa tu mpinzani wako, na hapa ndio...
  6. kibol

    Bondia anayeweza kuleta heshima hapa nchini ni Hassan Mwakinyo tu

    Kiukweli jini makata alipigwa, yule dogo ana skills sana, style na jini makata na Kiduku ni moja, hawana fighting skills just kuvaa tu mtu, sasa akikutana na bondia mwenye skills kama bwana mdogo lazima udhalilike.
  7. kibol

    FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndala ndio watajua ugumu wa kufika robo fainali ya champions league.
  8. kibol

    Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Si mtetei ila naamini kuna ishu ya collective responsibility, ata kama hauhusiki moja kwa moja ila kwa kuwa yamefanyika chini ya uongozi wako unalazimika kuwajibika.
  9. kibol

    Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

    Au yuko chaka Baraka de prince analima mahindi?
  10. kibol

    Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

    Hii vita haina ata chembe ya udini within rather economic reasons, suluhisho sio military intervention bali mazungumzo, pande mbili zinazohusika ni lazima zikae chini.
  11. kibol

    SoC03 Maajabu ya Ng'wana Malundi

    Hapa napo pana hoja ya msingi sana, ufafanuzi tafadhali.
  12. kibol

    Haji Manara hajawahi kuzini

    Yeye anaona kawaida tu as long as anaingiza hela nyingi kupitia ujinga ujinga wake, kuna mengine anayafanya kwa umri wake aibu naona mimi.
  13. kibol

    Haji Manara hajawahi kuzini

    Huyo ni mzee ni content creator
  14. kibol

    Manara na Ruby Fresh ndoa chaliiii

    Huyu mwana lunyasi mwenzetu komesha kabisa, muda sio mrefu tutasikia kamuoa zaylisa
  15. kibol

    Haji Manara: Haji wa mitandaoni na Haji halisi ni watu wawili tofauti. Siishi kama mnavyoniona mitandaoni

    Huyu jamaa sijui yupoje au ana shida gani, naona ndoa zake zinakufa kila mara, anaoa kwa mbwembwe baada ya muda unasikia ndoa ilishaisha siku nyingi.
  16. kibol

    Simba SC inahitaji REFORMS

    Kiukweli morali ya timu yetu ipo chini sana, pamoja na mambo mengine timu inatakiwa kujengwa kisaikolojia sana kwa sasa, tupo katikati ya msimu hatuwezi kuunda timu mpya.
  17. kibol

    FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Basi sawa wakuu, mtanange tumeushuhudia
  18. kibol

    Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Ccm baba Lao, Samia ndio kiboko Yao, kidumu chama cha mapinduzi
  19. kibol

    Viongozi wa CHADEMA wafanya kikao cha siri nyumbani kwa Mbowe

    Hawana jipya hao, porojo porojo porojo.... Business as usual
Back
Top Bottom