Nyie kwenye Lichama mnao watu wa kuongoza, inakuwaje sasa mnunue tena akina Mwita Waitara, Gekul, Katambi, Silinde, Kafulila, Molel, Lijualikali, na wengine wengi. Inamaana wewe hufai au?
Hasara kubwa kuliko zote ni kupoteza biashara ya gas na Mafuta kwa nchi za ulaya. Zimeazimia kuachana kabisa na kununua bidhaa hiyo toka Russia na kutafuta altenative solution. Hii iliwaingizia pesa nyingi urusi, sasa hiyo wataijutia milele
Dish limeyumba? Sielewi hicho kitu. Au Waite Baraza la wananchi! Hivi hakuna aliyewahi kuhoji kwanini jamii forums ni jamii forums? Ina tofauti gani na hii. Kuna rais wa TFF, kuna rais wa Simba, kuna Nabii Tito, kulikuwa na Profesa Maji marefu, kuna AK 47 Medie kagere, kuliwahi pia kuwa na jiwe...
Huu ni USHAMBA. Mi nasema hivi, mchakato uanze sasa, halafu kura ya wananchi ya kuipitisha ipigwe sambamba na upigaji kura wa uchaguzi mkuu wa 2025 ili raisi wa awamu ijayo aanze kuitumia kuanzia 2026. Ina maana Rais Samia mwenyewe awe wa Kwanza kui- practice! Inamaana uchaguzi mkuu wa 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.