Search results

  1. S

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Simba walianza way back 1993 kupambania haki baada ya Stella Abidjan kuchezesha wachezaji ambao hakuwa kwenye orodha ya usajili. Kama umeanza kufuatilia mpira juzi, sio rahisi kujua Umuhimu wa Simba katika Soka la Tanzania barani Africa.
  2. S

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Mtu anaye dhihaki huu mradi, ni mtu wa ajabu sana. Sijui lini Watanzania tutatoka kwenye lindi la Ujinga. Swala la mafuriko ni force-majure, huwezi kutoa lawama moja kwa moja kwa mradi, wakati hata Kawe mafuriko yalipita na watu wakapoteza maisha. Kwa akili ya kawaida, mradi kama ule hauwezi...
  3. S

    GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

    Nikifikiria hii mifumo PEPMIS, NeST MUSE. aisee kama nchi bado tunasafari ndefu sana. 1. Watumishi wanatumia muda mwingi kuingiza kwenye mfumo taarifa zao za utendaji kazi badala ya kufanya kazi 2. Mfumo wa manunuzi ya tender hauko compatible, watumishi wa manunuzi wanalalamika mfumo kuwa...
  4. S

    Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Mtu umeshasikia ni mwizi mzoefu na pia muuaji, bado unataka wajadiliane nae ili iweje!?
  5. S

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Kuna Jambo hapa! Ubongokid, nimetafakari sana andiko lako! unayo mengi sana kichwani, ni vile nafasi haikuruhusu kuyasema.
  6. S

    Nimeomba uhamisho nikajibiwa nitafute wa kubadilishana naye, nahisi kukosa haki yangu

    Kuhama ni haki yako, aliyekwambia kutafuta mbadala anatumia madaraka yake vibaya.
  7. S

    Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

    Kwani akitoa kafara, fedha zinatoka Benki Kuu ya Tanzania zinaingia mfukoni mwake? Sijawahi elewa mada za aina hii!? Bila kufanya kazi, unapataje fedha??
  8. S

    Nchi 10 zenye watu wenye furaha Afrika

    Congo na Mozambique?? Naamini TZ tuko na furaha sana!
  9. S

    Kwanini watu wa kutoka bara wana misimamo mikali kupitiliza.

    Mkuu, me nina jiran yangu hapa, kila mtu anafamilia yake, dah! huyu mwamba hata tukutane maeneo ya viti virefu, mwamba kanuna tu. Mwanzo ni nilijitahidi kumaintain ujiran mwema bado ikashindikana, nikaona isiwe tabu, kila mtu aishi kivyake!
  10. S

    Kwanini watu wa kutoka bara wana misimamo mikali kupitiliza.

    Mkuu ndio kusalimia iwe shida!? sasa huyo mtu mwenye shida atasaidiwa vipi na mtu wa bara kama tu hawaongei ama hawasalimiani
  11. S

    Kwanini watu wa kutoka bara wana misimamo mikali kupitiliza.

    Nikweli! ila naona ni hulka za kishamba!
  12. S

    Kwanini watu wa kutoka bara wana misimamo mikali kupitiliza.

    Mkuu, binafsi naona sio sahihi. Jirani yako kabisa anakununia bila sabab,mnapishana utadhani mnaugomvi? Alafu akipata tatizo huyo huyo anakuwa wa kwanza kuomba msaada kwa jirani zake asio wasalimia au kuongea nao. Mtoa mada nadhani umeniwahi, nami nilikuwa njian kuandika post kama hii! Hili...
  13. S

    Nani kanimiss?

    Mimi mwanaume ni mtu wa ajabu sana, huwezi amini, I just feel it, and i wish i could ask you somethin'!
  14. S

    Tenses

    Sahihisha sentensi hiyo.
  15. S

    Tenses

    Ok, nimeona, inakuwaje ing zifuatane?? na wakati baada ya kupokea fedha timu ndio ilianza kuimprove?
  16. S

    Tenses

    Kuna mwamba amesema nimekosea nikawa nasubiri afanye masahihisho
  17. S

    Tenses

    Let me konw the correct one!
  18. S

    Tenses

    On example.No 2. is where i often get confused! the sentense has not included ing? why?
  19. S

    Tenses

    Our team has been improving after received financial support from Ministry of Education. Is my sentense correct?
  20. S

    Tenses

    Make it for us!
Back
Top Bottom