Search results

  1. K

    Mwenye Office 2013 anisaidie

    Habari za leo wadau Naomba mwenye programu ya office 2013 anisaidie
  2. K

    Drive C inaonekana imejaa wakati programu zilizopo hazizidi GB 20,yenyewe ina zaidi ya GB 100

    Drive C imebadilika rangi imekuwa nyekundu wakati programu zilizopo. Hazina ujazo huo.nawezaje kuirudisha katika hali yake.
  3. K

    wadau naomba mwenye software ya pdf editor

    natafuta programu ya kuedit document ya pdf,mwenye nayo tafadhali anisaidie.
  4. K

    Programu ya kuchora kwa kutumia kompyuta

    Natafuta programu itakayoniwezesha kuchora,mfano katuni moja kwa moja kwa kutumia kompyuta. mwenye kuijua anijuze wapi naweza ipata. natanguliza shukrani
  5. K

    King'amuzi changu kimepoteza chaneli kibao naomba msaada

    king'amuzi changu kinaitwa master kimepoteza chaneli kibao, zimebaki za ufaransa tu na za mpira mbili tatu. Msaada kama kuna kasoftware ka kuzirudisha
  6. K

    Ivi kweli mtu akioa dada zangu wa kichaga lazima ajenge kwao kwanza?

    miaka mingi nimekuwa nasikia kwamba mtu akioa mchaga lazima atajenga kwanza uchagani, je kuna ukweli kuhusu hii hoja.kama kweli basi dada zetu wanajua mapenzi.
  7. K

    Ccm bila kuteua lowassa kushnei

    Narudia tena kwamba chama tawala wasome alama za nyakati na kukubali yaishe kwa kuteua Lowassa awe mgombea wao wa 2015 vinginevyo hawataamini kitakachotokea. nasema hivyo sababu huyu mjomba keshapanga safu yake karibu kila kona ya uongozi ndani na nje ya chama na keshafanya matumizi ya kutosha...
  8. K

    Bado natafakari kauli ya bosi wa takukuru "anayejifanya ana uchungu na nchi hii alete ushahidi"

    kwa kweli bado natafakari kauli aliyoitoa bosi wa TAKUKURU juzi kati kwamba "anayejifanya ana uchungu na nchi hii kuhusu tuhuma za mabilioni ya uswisi apeleke ushahidi ili wafanyie kazi". kwakweli kauli kama hizi zinaashiria kwamba sasa nchi haina mwenyewe maana polisi anataka apelekewe...
  9. K

    Kwanini mamiss wa bongo wanaficha majina ya ubini ?

    wanajamii naomba mfanye uchunguzi kwanini mamiss wa bongo siku hizi hawapendi kutumia majina ya ubini ya kilugha. asilimia 80 ya mamiss wanaficha majina yao ya kilugha. je ni kufagilia uzungu ama ndo wanahisi wakienda mbele wataonekana wenzao?.
  10. K

    Sheria za usalama barabarani zinapatikana wapi?

    naomba yeyote anayezifahamu sheria za usalama barabarani tanzania anijuze,maana nimeangalia katika mtandao sijaona kitu cha maana. je zipo wazi ama zinafichwa? ili ulaji uendelee?
  11. K

    Kesi ya lulu

    Nilikuwa sijui kama mahakama haina muda maalumu wa kusikiliza kesi, iwe saa nane usiku sawa !, saa kumi alfajiri sawa!, kutegemeana na "maamuzi".
Back
Top Bottom