kinyanyamba
Member
- Apr 10, 2012
- 96
- 13
wanajamii naomba mfanye uchunguzi kwanini mamiss wa bongo siku hizi hawapendi kutumia majina ya ubini
ya kilugha. asilimia 80 ya mamiss wanaficha majina yao ya kilugha. je ni kufagilia uzungu ama ndo wanahisi wakienda mbele wataonekana wenzao?.