Search results

  1. Mdakuzi

    Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

    Itakuwa ni window ina-update. Itabidi ukasimamishe zoezi la kupokea update na ku-install yenyewe na uruhusu kwa wakati utakao. Lakini, hizi update za window nazo ni muhimu sana kwani huboresha utendaji wa computer na softwares zake kwa ujumla. Ndiyo maana kwa utendaji wa sasa ni vizuri kutumia...
  2. Mdakuzi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Asante sana b...! Mungu amepokea sala zetu, japo tulianza vibaya mechi, ila imeisha vizuri. Ova
  3. Mdakuzi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Nadhani siku hizi watu wa Sinza ni kama wamekuwa wanapenda bar za indoor, hizo ndizo zimekuwa mashuhuri kuliko za wazi. Hivyo, unaweza kudhani hazipo, ila zimejifungia ndani. Hata Kitambaa Cheupe imewaweka ndani wateja wake. Ova
  4. Mdakuzi

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Nimecheka sana paragraph ya mwisho mkuu. Nacheka tu peke yangu. Dah! Ova
  5. Mdakuzi

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Much obliged Nifah ❤️ Ova
  6. Mdakuzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Shida ya Kaburu ni ile tabia ya kuuza mechi, na rafiki yake Aveva. Kassim ni shida sana, kaitafuna sana Simba kwa lile jengo la pembeni pale. Wakati wake wa mkataba wa jezi alikuwa anawapa Simba kati ya miliono 250 hadi 400 tu kwa msimu mzima. Anasingizia piracy kila siku. Ova
  7. Mdakuzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Samahani, sikujua ni katiba ya Yanga inayotakiwa nikaleta ya Simba. Shida nimesoma mbele kwa kurudi nyuma. Ova
  8. Mdakuzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Kwa hali ya mpira wa Tanzania ni kama inabidi iwe hivyo. Si unaona GSM kashajipanga kwa hilo, mwakilishi wa wanachama (Hersi) ni staff/ shemeji yake. Ova
  9. Mdakuzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Kampuni zinaanzishwa tu mkuu, hata Mo alianzisha kampuni mpya ili kuwekeza Simba. Tofauti na Mohammed Enterprises. Ova
  10. Mdakuzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Yusuf S. Bakhressa ndiye mmiliki wa moja kwa moja wa Azam FC, Said S. Bakhresa na Aboubakar S. Bakhressa hawa wapo tu free. Ova
  11. Mdakuzi

    Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

    Kuna wakati nilikuwa nikitamani kuona threads za michezo zikiwa zinaandikwa kwa weledi namna hii, bila kujaza unazi na ushabiki. Hongera sana Nifah, umelipa heshima jukwaa na michezo. Umeandika vizuri sana na kufafanua kwa kina hadi nikasahau kama wewe ni Yanga. Ni kweli Simba tuko kwenye...
  12. Mdakuzi

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Hapo unazungumzia taarifa inayotolewa kwa jamii kupitia media huwa hivyo, kuwa klabu imeamua kuboresha. Ila kabla ya hiyo taarifa huwa kuna kudai hayo maboresho hadi kuafikiana waboreshe kwa kuongeza kiasi gani. Mshahara bora huwa unadaiwa comrade, hautolewi tu. Ukitaka kuelewa nisemacho...
  13. Mdakuzi

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    GK nadhani tafuta taarifa zaidi. Pa, ungetuambia na wengine kama O-Ten, Snare, Pauline Zongo na wengine nao wana nini? Ova
  14. Mdakuzi

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Mshahara siyo hisani, unapewa uliokubaliana upewe. Hata angetaka asilipwe, Yanga isingemlipa. Elewa taratibu za ajira. Na hivyo anafanya kazi vizuri, maana yake unamtosha sana mshahara anaolipwa. Akitaka mkubwa atadai apewe mkubwa. Ova
  15. Mdakuzi

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Kuondoka ni kuondoka tu, na kila mtu ataondoka kwenye timu kwa namna yake. Ila mchezaji akiwa serious kutaka kuondoka hazuiliki. Ova
  16. Mdakuzi

    Ni wakati na sisi Watusi tutambuliwe kama kabila hapa Tanzania

    Kwa nijuavyo Watutsi ni tabaka, siyo kabila. Na ndani yake ndiyo kuna hayo makabila. Ni tabaka ambalo asili yake ni Rwanda. Na tabaka hilo limesambaa katika nchi za DRC, Tanzania, Rwanda na Burundi kwa miaka mingi. Na sababu ya kusambaa kwao ni magomvi ya mara kwa mara na tabaka jingine la...
  17. Mdakuzi

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Ndugu zangu, Kuna kitu hapa tunapaswa kuelewa, kila mshahara anaolipwa mtu huja baada ya maongezi na makubaliano. Kama mshahara wa mtu ni mdogo au mkubwa uliotokana na makubaliano aliyofanya na mlipa mshahara huo. Guede kaijua thamani yake na akadai mshahara kulingana na thamani yake kama...
Back
Top Bottom