Search results

  1. Entreprenegro

    Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

    Kuna kitu hakiko sawa Sana Sana upande wako. Hivi inakuaje unaanzisha biashara nyingine wakati ya kwanza alifeli.. Na kwa kuuza usafiri?
  2. Entreprenegro

    Natafuta mchumba

    Sasa nimeanza kuamini msemo wa wanaume wa dar.. Mbona mji mkubwa huo una kila aina ya wasichana alafu unakuja mitandaoni kutafuta mchumba
  3. Entreprenegro

    Mjadala kuhusu Mke asiye wa Ndoa na Mtoto wa nje ya Ndoa kwenye urithi

    Mkuu kama wewe sio mwanaume unaweza sema hivo. Lakini kama mwanaume chunga sana mdomo wako.
  4. Entreprenegro

    ''Mwanangu, babako amekufa''

    Muda mwingine muwe mnasoma alama za nyakati. Mtu anakwambia hana future na wewe. Unambebea mimba hata Mzee wangu pale msoga alishasema hivo ni viherehere vyenu.
  5. Entreprenegro

    Guys be like "Nina kazi nzuri, Gari, Nyumba, Pesa lakini sipati Mke"

    Hivi utamjuaje mwanamke mwenye hofu ya Mungu??
  6. Entreprenegro

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naombeni ushauri nataka nichukue Premio ya mwaka 2004. Udhaifu na ubora wake ukoje?! Na kama mbadala mzuri zaidi yake ni upi?!
  7. Entreprenegro

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Boss serikali ya sasa waziri lazima uwe mtendaji. Sio kama ulivokalili kwamba waziri ni siasa. Lazima ujue unaends kusimamia nini katika hiyo sekta. Sio unachagua chagua hata vimada katika sekta nyeti unategemea maendeleo kwa sababu ni nafasi ya kisiasa. Na kuhusu kuteuwa ni matakwa yake...
  8. Entreprenegro

    Bado Magufuli anahangaika na visamaki, Manyangumi yanalala kwa raha kabisa

    Watanzania kila siku wanalalamika.. Wakila nyama wanajidai.. Wakila dagaa hawana kitu.. Wakila maharage wanafulia unaona..
  9. Entreprenegro

    Watanzania tunasifia kupitiliza Magufuli, hakuna jipya lililofanyika mpaka sasa

    Mambo ya mchakato, mkakati, utaratibu, kanuni na sheria.. Kwenye maendeleo hauna tija. Tunataka maendeleo hiyo michakato hizo sheria unazozisema zimetusaidiaje mpaka sasa?!! Ngoja nikujibu sasa.. Huyo contractor alishapatikana ilikuwa tatizo pesa ili aanze kufanya kazi.
  10. Entreprenegro

    Darubini ya Mtatiro: Nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita?

    Pole sana. Naona unaisoma namba. Dua la kuku halimpati Mwewe
  11. Entreprenegro

    Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Kama nj nonsense. Ebu tuambie wewe mchumi wa first class njia zipi za kuongeza mapato?? Ili kuleta ufanisi katika utendaji na maendeleo ya nchi kwa ujumla.. Unabaki una lalamika tu sijui mfanyiwe nini ili msilalamike.
  12. Entreprenegro

    Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Unaoongelea vitu viwili ambavyo havihusiani kabisa. Ndio maana ukawa wengi ni wasakatonge.
  13. Entreprenegro

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    Samahanini wakuu Mimi na Sony Expedia z3 sijapata internet kabisa. Sijui settings zake natumi a line ya Airtel nisaidieni wakuu.. Ni imported from US msaada plzz
  14. Entreprenegro

    Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

    Hivi Kati ya Malaya na pombe kipi hatari.. Tumia akili sio mradi unachangia tu..
  15. Entreprenegro

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Mkuu Malila nami nimekutumia email kwa PM. MSAADAWAKO PLZ
  16. Entreprenegro

    Business ideas (Bure)

    Mkuu asante sana kwa hii thread. Mungu akutangulie katika biashara zako
  17. Entreprenegro

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    Ebu nipe specification zake.. Na inavyoonekana ipige picha usiwe ya kichina.. ni PM
  18. Entreprenegro

    Dawati la msaada kwa Sony Xperia

    Nataka ninunue Sonny experia lakini mm sio mtaalamu na hizi simu.. Nimeipenda experia na budget yangu ni 650000 je ni aina gani ya experia itakuwa nzuri kwangu na maduka gan
Back
Top Bottom