Search results

  1. S

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Mengi wataongea ila ni emergence due to technical problem more thn two hrd pax on board
  2. S

    Siasa za bongo mpaka kwenye mitandao ya sim (vodacom)

    Kwa muda wa miezi baadhi ya mitandao ya sim wamekuwa na promosheni ya vifurushi amabavyo mtu unanua kwa kiasi fulani na kujirusha kwa mda utakaopewa,cha kushangaza hawa vodacom unanua kifurushi cha siku kwa Tsh 600/= wanakupa sec 900 sawa na 15 dkk lakin ukipiga kwa dkk tatu wanakuambia...
  3. S

    Dr. Slaa Atembelea Moja Ya Bandari Kubwa Marekani !

    Mwingilu A.K.A domo chafu kaenda Usa na Uk ili kujifunza matusi kwa kimombo tusubirie akurudi :glasses-nerdy:.
  4. S

    Tanesco imefilisika?

    Hii hali sio shwari wiki iliopita kuna gazeti liliandika mgao wa umeme umeanza Tanzania bila ya taarifa yoyote kesho yake Tanesco walitangaza kupitia vyombo vya habari kwamba hizo taarifa ni za kizushi hakuna mgao wowote nchini ila ukweli ni kwamba mgao upo kama kawa leo hii kanda ya kaskazini...
  5. S

    Hivi hii serikali ya CCM inachukuliaje swala hili la mkuu wa wilaya huko Mwanza?

    Kwa watu wengine inaweza kuwa kama tuko ndotoni lakini huwezi kuamini kama nchi hii kuna watu wanaishi kama wakimbizi .Inasikitisha sana kuona kiongozi anaamuru polisi kuchomea wananchi nyumba zao kisa eti wamejenga kwenye hifadhi wakati wanajenga mlikuwa wap? Mmechoma nyumba zao isitoshe na...
  6. S

    Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Ni vigumu kuamin ama kukubali kwa haya aliofanyiwa mwenzetu! Ni mateso yasio na kifani kwa wale wenzetu wakristo nafikiri haya mateso ya Dr Ulimboka wanaweza kuyafananisha na yale ya Yesu kwa sababu kumng'oa binabamu mwenzio viungo vyake kwa kutumia koleo ni unyama usio na kifani ! Najiuliza na...
  7. S

    Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

    Ni aibu sana kwa taifa alafu polisi wanakuambia usalama umeimarishwa upuuuzi mtupu
  8. S

    Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

    Tarehe 02 Julai nilikuwepo eneo la uwanja wa ndege kia nikiwa na shughuli zangu binafsi majira ya saa 1430. Ilitua ndege kubwa aina ya ya Airbus iliyovuta hisia za watu wengi sana wakiwemo wafanyakazi wa uwanja huo. Nilijivuta karibu na kutaka kujua ni kina nani wako na ndege hiyo...
  9. S

    Uwanja wa Ndege Arusha ni aibu kwa Taifa

    Ni vigumu kuamin uwanja wa ndege wa Arusha umeshindwa kumalizika katika muda uliopangwa kotokana na serikali kushindwa kumlipa mkandarasi wakati uwanja huo unaaingizia serikali mamilion ya pesa kupitia kodi zinazotozwa na uwanja huo , isitoshe barabara ni ya kuingilia uwanjani ni aibu kubwa sana...
  10. S

    Kesi ya kupinga ubunge Igunga leo

    Huyu jamaa lazima aondoke
  11. S

    TAHADHARI ya Mvua Kubwa Tanzania

    Kwa wale wandugu mlioko mkoa wa Dar es salaam pamoja na Mtwara chukuen tahadhari kwani picha za satelite zinaonyesha kwa tar 02May hali ya hewa ni mvua asubuh mpaka usiku .
  12. S

    Nape rejea alama za nyakati kicho cha CCM kimewadia

    Namshangaa sana Nape kwa kutokusoma alama za nyakatati aangalie Arusha/Monduli na hata Mwanza asijipe moyo wakati chama kinakufa awaangalie kina Gadafi/Ben/Sadaam na wengine wengi waliwatukana watu kuwa ni panya na mende wanaosumbua nyumani leo hii wako wap? REJEA ALAMA ZA NYAKATI NDUGU.
  13. S

    CCM yaishika Pabaya CHADEMA-RAI

    Mbona unaongea pumba ndugu maana kichwa cha habari na yaliomo ndani ni tofauti tupu?:heh:
  14. S

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Ninachoamin haki siku zote haivutwi kwa kamba hata kama itacheleweshwa ila itasimama tuu
Back
Top Bottom