Search results

  1. Bonitah

    Experiences bado ni tatizo kubwa katika ajira kwa new graduates..Wadau tufanyaje???

    Tatizo kubwa wabongo tunachagua kazi, kuna kaka mmoja namfahamu alikuwa na degree yake, alitafuta kazi mpaka akachoka, then akaenda kuomba kazi ya ulinzi akapata, and now ni project manager na mshahara wake mzuri tu, hata mkifuatiria karibu makampuni mengi yenye security managers/assistants...
  2. Bonitah

    Serikali isiwaondoe Wamachinga Mijini; tujifunze kutoka majiji mengine!

    Hata Kuala Lumpur , Malaysia kuna sehemu inaitwa China Town, ni sehemu ya wamachinga!
  3. Bonitah

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Mwenzangu Maisha yenyewe haya mafupi.....! You are the best dear.
  4. Bonitah

    Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    You have made my day! Ha ha ha
  5. Bonitah

    Shukrani zangu za dhati kwa wana JF

    Pole sana KOKUTONA , mwenyezi Mungu akupe nguvu na ujasiri! and we love you more! Yote ni mapenzi ya Mungu!
  6. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Ok! Asante sana Mkuu
  7. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Nimejaribu kutafuta sijapata statistics zake kwa % kuna matokeo tu. Thanks
  8. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Thanks ntajaribu njia hiyo maana Necta sipati statistics ninazozitaka!
  9. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Nashukuru, ngoja nijaribu tena maana nilitafuta sikupata....! Thanks
  10. Bonitah

    Naombeni msaada wenu!

    Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza nikapata Statistics za matokeo ya mitihani ya secondary school O-Level kuanzia mwaka 2010 - 2013 anijuze, ili niweze kufanikisha research yangu ya shule. Mbarikiwe sana!:A S-heart-2::A S-heart-2:
  11. Bonitah

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    Pole sana Koku, Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki!
  12. Bonitah

    Suppose...

    Will you be my friend?
  13. Bonitah

    BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

    Mie sijui ntantoka na nani vile, huu mziki nahisi ntaucheza kivyangu mdogo mdogo!
  14. Bonitah

    Precision Air mmezidi

    Nakubaliana na wewe kabisa, nlishawahi kuachwa mwanza na watu kibao eti ndege imejaa! Nikajiuliza hawakujua hilo wakati wanauza ticket au ni tamaa ya hela!
  15. Bonitah

    Fainali Uzeeni....

    Huu msemo wa "FAINALI UZEENI" mtu ukikaa ukaufikiria vizuri na maana yake, unasaidia sana maishani, mie unanipaga nguvu sana ya kufanya ninalofanya kwa bidii, iwe kazi au kusoma! Hata wadogo zangu wakichezea maisha naishia kuwaambia "FAINALI UZEENI" that's all you don't need to talk much...
  16. Bonitah

    Hii nimeipenda...!

    Once you find symptoms of CCMonia sickness,immediately swallow Chademaquine tablets U will be cured.Chademaquine tablets are all over the country.If illness persist consult Dr.Slaa..!
  17. Bonitah

    Cheers 2 all ladies.......!

    Who said gentlemens are stronger than ladies? Can they bleed 4 a week and survive, can they squeeze a 14 inch kid from a few cm hole, can they lov someone and keep quite, can they cry all nyt and wake up in the mornin lyk nothn is wrong, can they witnes the lov of their lives ending up with...
Back
Top Bottom