Search results

  1. Prince Naseem

    Ninauza smartphone yangu Itel s32 LTE bei 180,000 nipo Dar

    Ninauza smartphone yangu Itel s32 LTE bei 180,000 nipo Dar. WhatsApp 0743232148
  2. Prince Naseem

    Photos: Jeshi la Magereza Tanzania someni hapa mjifunze jambo la msingi sana.

    Kenya: Mrembo wa Gereza la Langata "Miss Langata Prison" ajuta kumuua mpenzi wake
  3. Prince Naseem

    Kenya: Mrembo wa Gereza la Langata "Miss Langata Prison" ajuta kumuua mpenzi wake

    Ruth Kamande has just been crowned Miss Lang'ata Prison Ruth Kamande, who came to the limelight last September for allegedly stabbing her lover 22 times, was crowned the most beautiful woman at the Langata Women's Prison on Wednesday. Her dashing beauty awed the judges leaving them...
  4. Prince Naseem

    Serikali, waziri wa viwanda, chakula wapo kimya watu kuchezea kemikali majumbani mwao

    jamani, kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kuzagaa kwa hiki kitu wanaita "mafunzo ya ujasiriamali" hapa tanzania. unakutana na mtu ambaye hana mafunzo yoyote ya namna ya ku-handle kemikali anakusanya kikundi cha watu na kuanza kuwafundisha namna ya kutengeneza sabuni za unga, sabuni za maji...
  5. Prince Naseem

    Kwanini ukisomea saikolojia chuo unang'oa mademu wakali sana?

    Wakuu, Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili. Mpaka ninavyoandika hapa washkaji kitaa wanatamani hata kumpa pesa nyingi ili aondoke pale kwao Kimara...
  6. Prince Naseem

    Ushauri wa bure kwa JWTZ: Mashujaa wetu wazikwe kwenye kambi zenu zilizo karibu

    baada ya kutoka safarini nikiwa mchovu sana, nilijikaza mpaka kufanikiwa kuhudhuria mazishi ya baba wa rafiki yangu ambaye ni luteni kanali mstaafu wa jwtz (upande wa jkt) yaliyofanyika katika makaburi ya chang'ombe maduka mawili jana 24-04 2016, ndipo likanijia wazo hili la "kwa nini wanajeshi...
  7. Prince Naseem

    Hot: How Do Spies Gather Intelligence?

    Mara nyingi namna ujasusi unavyotekelezwa katika dunia halisi ni mara chache sana hufanana na zile television movies za hollywoods kama James Bond, Tom Cruise na wengineo.Ila ujasusi bado inabaki kuwa moja kati ya njia muhimu na hatari sana zitumiwazo na serikali zote duniani katika ukusanyaji...
Back
Top Bottom